Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FIFA ban affects all footballing activities in a country wewe kilaza wa bongo.

Non-football country ambayo iko ranked mbele yenu na iliwatwanga AFCON? 😂
Tofauti yako na kondoo ni harufu.
Kazi kubishana tu.
Mnafungwa hadi na Botswana! 😂😂😂

IMG_3982.jpeg
 
Gor Mahia won the Nelson Mandela Cup (later renamed Africa Cup Winners Cup) in 1987 after beating Esperance of Tunisia in the final

View attachment 2880226

Kwenye soccer Kuna nini?

Last time I checked, we beat you in AFCON kama burukenge

We are ranked ahead in of you in FIFA rankings

We are the only country in EA with a club holding a Continental title

Our local football clubs have always beaten your local football clubs.

We have participated in more AFCON competitions than you have

We've also won matches in AFCON (one of them against you) wakati nyinyi bado hamjui ushindi AFCON inatataste aje!

We've also sent players to European leagues and one of our own has even lifted the prestigious UEFA Champions League

So if I may ask, what bragging rights do you have over Kenya in matters football?
Hizi unataja zote ni history mzee 😂😂😂 it has nothing to do with your current capabilities to qualify either Afcon or CAF champions league.

Tunavyoongea hivi sasa league yetu ni namba 5 kwa ubora Africa na team yetu ya taifa inacheza kesho vs Congo DRC, how about you? 😂😂😂😂
 
Ligi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
 
Ligi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
Hiyo haibadili chochote mzee kwamba Tz league is in Top five list of Africa's top leagues

Product ya league yetu ni wachezaji wengi tu.

Azizi ki -Bukinafaso
Fiston Mayele-Congo DRC
Jigui Diara- Mali
Hikoni Inonga-Congo DRC

Heb na wewe taja walau wachezaji wawili kutoka hiyo league yenu wanaocheza Afcon hata kwa mataifa mengine walichiliambali Kenya mana hamna uwezo wa kushiriki. 😂😂😂😂
 
Haibadili chochote kivipi wakati U
unasema ni ligi bora? Ubora wake ungedhihirika kule Ivory coast kwa matokeo ya Taifa stars
 
What gear have I changed? You gave an example using Botswana and I did the same with South Sudan. What's the difference?

About Olympics, you know we are Africans kings of Olympics au unajifanya umesahau?
kings of Olympics na hamjafuzu!
Ni mashindano gani ya kimataifa timu zenu za mpira zinashiriki?
Mbona hutaki kujibu!
 
Nyie nae punguzeni wivu na roho mbaya bora ya taifa stars hata walioingia makundi ya AFCON nyinyi mumeingia mashindano gani? Tena kaeni kwa kutulia na mumshkuru sana azam tv amekuza sana mpira wenu machizi nyinyi 😅😅😅😅😅😅😅
Hakuna walichopeleka AFCON kilichobaki wamekuwa wachambuzi na majaji nyang'au.
 
Back
Top Bottom