Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
GTC ndio dawa yenu. Huwa mkiona picha zake lazima mtetemekeš¤£š¤£š¤£š.From morning to evening mnapost vipicha vya gtc mnabadili angle tu aisee, hv mshawahi kujiuliza kama mchina asingejenga mngezungusha vipicha gani, mna bore aisee.
Kwanza leo ntakuwa nawapea daily dose ya GTC hili muumie kabisa.
Midday dose.