NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,081
- 19,314
Poleni majirani😂😂😂
Nchi inachekesha sana hii.
Kuanzia Rais, machawa wake na Taifa Stars
Poleni majirani😂😂😂
Nchi inachekesha sana hii.
Kuanzia Rais, machawa wake na Taifa Stars
Eti nani aliwaroga 😅😅😅
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1749132270714204564?t=oYMjnhs3AKpmxtCTFX-v4Q&s=19
Mwinyi afute Kauli yake ya Tanzania ni Kichwa Cha Mwendawazimu kabla hajafa.
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1749138630608650521?t=0eWUn7CokWg9hqxT5URBnQ&s=19
Wanga kama wewe ndio mnairoga na Kuombea timu ishinde kisa chuki binafsi Kwa Samia eti credits zitaenda kwake.Aliishaifuta tayar kijana wangu, tatizo wew bichwa bovu
Tuliwafunga goli Wakiwa kamili, mchezaji 1 hana impact kubwa.Kama kushinda timu Iko na red ndio imekushinda. What makes you think Tanzania will defeat DRC?😂😂
Mpira na uchawi ni vitu tofauti kijana wangu. Mpira unahitaji investment, sio kupigiwa simu na mavikaoWanga kama wewe ndio mnairoga na Kuombea timu ishinde kisa chuki binafsi Kwa Samia eti credits zitaenda kwake.
Shinyanga Huwa mnatiwa kiberiti
Inaendelea kuihudumia Timu.Mbwana samatta 32+
Himid mao 32+
Msuva 31+
Mohamed hussein 31+
Mzamiru 33+
Aish Manula 31+
Mpira ulishabadilika kutoka brazilian football na kwenda english football, mpira sasa hvi ni wavijana wadogo from 20 to 28, mpira wa speed, mpira wa akili
Niliuliza ile michango iliyochangishwa imeenda wapi ???
baada ya bakuli la dawa za tb sasa za cancer!What follows next is Tanzania comes to the rescue.
Stop bringing age excuses here. Italy won Euros with the oldest squad in the tournament. Senegal also last won AFCON with the oldest age in the tournament. Tanzania is just shit in every sport.Mbwana samatta 32+
Himid mao 32+
Msuva 31+
Mohamed hussein 31+
Mzamiru 33+
Aish Manula 31+
Mpira ulishabadilika kutoka brazilian football na kwenda english football, mpira sasa hvi ni wavijana wadogo from 20 to 28, mpira wa speed, mpira wa akili
Niliuliza ile michango iliyochangishwa imeenda wapi ???
Hebu rudia mchezaji mmoja hana impact umesahau alipotoka mchezaji wa taifa stars ikala tatu kutoka kwa moroccco😅😅😅😅Tuliwafunga goli Wakiwa kamili, mchezaji 1 hana impact kubwa.
Tunahamishia mapambano DRC
Mbwana samatta 32+
Himid mao 32+
Msuva 31+
Mohamed hussein 31+
Mzamiru 33+
Aish Manula 31+
Mpira ulishabadilika kutoka brazilian football na kwenda english football, mpira sasa hvi ni wavijana wadogo from 20 to 28, mpira wa speed, mpira wa akili
Niliuliza ile michango iliyochangishwa imeenda wapi ???
Zinahudumia kitu gani wakat ni kazi ya serekali na kuna pesa inatoka AFCON ?? Au ww huna ulijualo??😅😅😅😅😅😅Inaendelea kuihudumia Timu.
Pili ni michango ya timu za Taifa sio Taifa Stars pekee
Are you aware that Tanzania has never left bottom of the table in any AFCON competition since its inception?Tuliwafunga goli Wakiwa kamili, mchezaji 1 hana impact kubwa.
Tunahamishia mapambano DRC
Serikali ilisema zinahitajika 10bln ,na hiyo michango ni sehemu ya ku source pesa.Zinahudumia kitu gani wakat ni kazi ya serekali na kuna pesa inatoka AFCON ?? Au ww huna ulijualo??😅😅😅😅😅😅
Team ya taifa inaitwaje???😅😅😅😅Inaendelea kuihudumia Timu.
Pili ni michango ya timu za Taifa sio Taifa Stars pekee