Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,798
- 107,229
Na ndo hivyo Astral ni international company operating under franchise! Ni kama Mkunya adai KFC is KunyanMie nimeona kuwa kuna mashirika mawili yamesaini kufanya kazi pamoja.
Sijaona sehem imeandika Astral ni Kenyan owned.
Hiyo ni kampuni ya nje acheni kutaka vya watu.