Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

thibitisha hilo kwa kuanza kusikiliza radio

zenu mziki ni wa tz vyombo vyenu vingi habari ni tz sasa njoo bongo land hamna tunachojua hata kuhusu mziki wenu hata kinachoendelea kwenu.
It is because Kenyans are more exposed to the world than Tangawizi. We listen to all kind of music, Nigerian, South African, Ugandan, American, K-Pop, Drill, Hiphop etc. Do not think you are special. You expect people in darkness to know anything about Kenyan music or what is going on around the world?
 
mnate

mnateseka sana nenda X uone wenzako mada wanazoanzisha kuhusu tanzania kila wakati ujue nani yupoje angalia hata la Treni linavyowatoa macho si mnayo mliyoletewa na wanasiasa wenu?
Please just type in English. I am getting a terrible headache reading your Swahili
 
It is because Kenyans are more exposed to the world than Tangawizi. We listen to all kind of music, Nigerian, South African, Ugandan, American, K-Pop, Drill, Hiphop etc. Do not think you are special. You expect people in darkness to know anything about Kenyan music or what is going on around the world?
kwahio ukajua sisi watz hatusikilizi hizo hadi vijijinu wanaijua IDM na kina avicii na ila sio hio shengi song kutoka kwenu mzee wangu huo ndo ukweli.
 
mnate

mnateseka sana nenda X uone wenzako mada wanazoanzisha kuhusu tanzania kila wakati ujue nani yupoje angalia hata la Treni linavyowatoa macho si mnayo mliyoletewa na wanasiasa wenu?
Hii thread si ilianzishwa na Tangawizi? Kila kitu mnatuma hapa huwa habari za Kenya. We give you sleepless nights
 
kwahio ukajua sisi watz hatusikilizi hizo hadi vijijinu wanaijua IDM na kina avicii na ila sio hio shengi song kutoka kwenu mzee wangu huo ndo ukweli.
What do you know about HipHop? You cannot even type a complete sentence in English without breaking your fingers
 
si mlikuwa na mashada ilikuwaje anzisheni ya kwenu hence nyie ni wavivu na hamjui namna nzuri ya kuwasiliana tuaunda na tukaweka na segment yenu muwepo pia mtushukuru kwa hilo we fala
Last I checked, internet penetration in Kenya is more than 80% while in Tangawizi, not even half of your population has access to the internet.
 
kwahio ukajua sisi watz hatusikilizi hizo hadi vijijinu wanaijua IDM na kina avicii na ila sio hio shengi song kutoka kwenu mzee wangu huo ndo ukweli.
Vijijini wanasikiza American Hiphop yet hawajui hata Kizungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
What do you know about HipHop? You cannot even type a complete sentence in English without breaking your fingers
sasa hio kingereza ikakupa nini by the way zile dawa za TB najua zilifika ndio maana mnaweza ongea sasa sisi tuko kuhakikisha usalama wenu kwa chakula na dawa tukifunga tuu mpaka tutawaokota kaka wadudu chini mmekufa.
 
Mbona msifunge huo mpaka? Nyinyi mnapanda huku sisi tunakula tu. Mzalishe chakula kingi maana hatutaki kulala njaa
 
Back
Top Bottom