Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii thread si ilianzishwa na Tangawizi? Kila kitu mnatuma hapa huwa habari za Kenya. We give you sleepless nights
We kima umesoma title ya hii thread? Ni battle na ndio maana unaona Tanzanians wa humu wanapost kuhusu uozo wenu and guess what out of this thread hakuna mtanzania wa kawaida mwenye anajua chochote kuhusu kenya. Pitia hii uone kama hautalia 😂😂😂👇
View: https://youtu.be/WC-dffXM--0?si=U59xWVhUlpk_eJo4.
 
Mbona msifunge huo mpaka? Nyinyi mnapanda huku sisi tunakula tu. Mzalishe chakula kingi maana hatutaki kulala njaa
nyie mnazaliana kama kupe kwakuwa tunaingiza hela kwa kuwauzia ndio maana unaona haujafungwa ila tumeweka conditions tunazotaka sisi vipi hapo.
 
Vijijini wanasikiza American Hiphop yet hawajui hata Kizungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kweli mmetawaliwa mpaka karne hii kwa hio unajua kujua kizungu ni big deal sana mbona huku wanakijua tuu mzee wangu nyie mtu akijua kizungu ndo kamaliza kila kitu sio?
 
Last I checked, internet penetration in Kenya is more than 80% while in Tangawizi, not even half of your population has access to the internet.
haahaa sasa mkafanya nini mfano ndio iboreshe kibera basi kama ndio inaongeza pato la taifa wewe ni bure kabisa
 
1000028285.jpg
 
We kima umesoma title ya hii thread? Ni battle na ndio maana unaona Tanzanians wa humu wanapost kuhusu uozo wenu and guess what out of this thread hakuna mtanzania wa kawaida mwenye anajua chochote kuhusu kenya. Pitia hii uone kama hautalia 😂😂😂👇
View: https://youtu.be/WC-dffXM--0?si=U59xWVhUlpk_eJo4.

Hawatambui chochote kuhusu Kenya na wala hawatambui chochote kuhusu nchi yoyote ile, since your education system is in the pits. Kenyan primary school pupils know everything about every African country in their fingertips. So do not think you are special
 
Mie nimeona kuwa kuna mashirika mawili yamesaini kufanya kazi pamoja.
Sijaona sehem imeandika Astral ni Kenyan owned.
Hiyo ni kampuni ya nje acheni kutaka vya watu.
Bongolalas always in denial. Usiwe pumbavu kizee.

Screenshot 2024-01-20 201342.jpg

Screenshot 2024-01-20 201438.jpg
 
La mwisho la kukwambia haitakaa Somaliland ikamezwa na Somalia KAMWE.
Maana hawana hizo potential.
China anazo geopolitical potentials za kuimeza Taiwan ila Somalia hana.
Mjadala umefungwa.
Alisikika bwana Kosugi kutoka Hargeisa Somaliland akijifariji 😁😁
 
We kima umesoma title ya hii thread? Ni battle na ndio maana unaona Tanzanians wa humu wanapost kuhusu uozo wenu and guess what out of this thread hakuna mtanzania wa kawaida mwenye anajua chochote kuhusu kenya. Pitia hii uone kama hautalia 😂😂😂👇
View: https://youtu.be/WC-dffXM--0?si=U59xWVhUlpk_eJo4.

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM STUDENTS

View: https://www.youtube.com/watch?v=zlTEGUahWdY

VS UNIVERSITY OF NAIROBI STUDENTS

View: https://www.youtube.com/watch?v=0HeDEiWT3N8
 
Back
Top Bottom