Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks for your confirmation. Your railway is still under construction for 8 years now.
Acha kuzunguka mbuyu wewe.
Reli sehem ya kwanza na ya pili tayari na inaweza kuanza kutumika .
Vipi ninyi mlimaliza upande wote wa reli?
Halafu kumbuka reli yetu itatumia EMU sio DMU kama yenu.
 
Nilikuwa na check mpira.

Naanza sasa

Bella Vista​

Residential Buildings on Plot No:2017, At Msasani Peninsulas, Dar Es Salaam

1705775811825.png

1705776020019.png

1705776041680.png

1705776059224.png
 
Endelea kujifariji na kuukataa uhalisia.

Lagos is not in the same league as Nairobi. But it's above Dar is slum.

View: https://twitter.com/OputeJoseph/status/1748360054535844320?s=19

Point zote naweza kuzikubali ila hilo la jamaa kusema Kenya serikali yenu sio wezi hapo kajiongopea.
Uhalisia unafahamika serikali ya kenya ni serikali inayoongoza upigaji mwingi ama ufisadi.
 
Endelea kujifariji na kuukataa uhalisia.

Point zote naweza kuzikubali ila hilo la jamaa kusema Kenya serikali yenu sio wezi hapo kajiongopea.
Uhalisia unafahamika serikali ya kenya ni serikali inayoongoza upigaji mwingi ama ufisadi.
The discussion was about development.
 
Back
Top Bottom