Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Even Brazil was beaten by Morocco, who is Tanzania? Msijifariji, Tanzania ndiyo mtetezi wenu na ndiyo maana jana wakenya wote karibu 50+ mlinunua azam bandle to watch Taifa stars ikicheza kule ivory coast.
Sisi Tanzania tulijiandaa matokeo yoyote ndio maana wala hatukuwa na tatizo maana tunajua tunacheza na timu bora ila nashangaa wanaoumia ni wakunya. 😂😂😂
Furaha yetu ni tumefuzu mengine freshi tu.
 
Sisi Tanzania tulijiandaa matokeo yoyote ndio maana wala hatukuwa na tatizo maana tunajua tunacheza na timu bora ila nashangaa wanaoumia ni wakunya. 😂😂😂
Furaha yetu ni tumefuzu mengine freshi tu.
zero Afcon wins ...wuehhh.....tz nyinyi kwa sports hamna nyota yawa..sad
 
Sisi Tanzania tulijiandaa matokeo yoyote ndio maana wala hatukuwa na tatizo maana tunajua tunacheza na timu bora ila nashangaa wanaoumia ni wakunya. 😂😂😂
Furaha yetu ni tumefuzu mengine freshi tu.
Zile pesa waziri mkuu alikua anachangisha ni kwa ajili ya nn??😅😅😅😅😅
 
Wamecheza a very amateur football
Kukimba kimbia tu bila plan.
Enyewe football ya Africa ni ujinga tu.
that game was boring.....tz just resorted to rough game and playing cluelessly...very amartuerish weak team...infact didnt watch much of second half coz i was sure Morocco would be having a good training session
 
How did it happen that you guys copied South Africa's national anthem....lol.
 
Back
Top Bottom