Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
πππππππ Tunatiana Moyo tuu
View: https://www.instagram.com/p/C2Nz74-NjuA/?igsh=MThpZ2RjM2h0eHhxbw==
Hii nchi uwa haina viongozi wenye maono sijui kwanini???
Hivi kujenga football academies walau kila Kanda kwenye nchi hii tunashindwa wapi??? Kama anaweza akanunua goli moja kwa 10M Tsh,anashindwa nini kutafuta wadau wakaleta facilities nzuri ili siku zijazo tuweze kutamba hapa Africa??
Morocco ambao wanatupiga kila siku ni kwa sababu nchi kwao wana Academy za kisasa sana inshort zina hadhi kama za Ulaya tu
Mwambieni huyo Bi'Kidude wenu,Aache porojo za kishamba za kutafuta kuungwa mkono na wana soka wa nchi hii,aboreshe miundombinu ili ball lipigwe la viwango vya juu sana