Wewe kima in case you didn't know Tanzania imezungukwa na nchi nane, nchi sita Kati ya hizo ni land locked countries, kwahyo it's the matter of investments kwenye bandari tu, binafsi wala sioni kama Kenya mnaweza kufanya competition na Tz ikiwa kweli tutawekeza kwenye miundombinu there's no way you can match Tz. Sisi tunayo potential. Ningekua kiongozi mkenya sasahiv ningetafuta strategies zingine ili kuendelea kuwa dominant economically kwenye hii region rather than kufanya figisu.. Tz iko na potential ya kuuongeza huu ukanda in so many ways. Geographic location inatubeba .. wewe kima mpuuzi endelea kujipa moyo