ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Inabeba mzigo kokote sio tu nairobi hata zambia majuzi ilipeleka magari ya serekali yao etc hio ndege inawaumiza sanaNairobi tu ndio itapata mizigo,
Atleast itawacha kupack for 3 days 😂
Inabeba mzigo kokote sio tu nairobi hata zambia majuzi ilipeleka magari ya serekali yao etc hio ndege inawaumiza sanaNairobi tu ndio itapata mizigo,
Atleast itawacha kupack for 3 days 😂
Umeona eenhee...Nairobi tu ndio itapata mizigo,
Atleast itawacha kupack for 3 days 😂
Inabeba mzigo kokote sio tu nairobi hata zambia majuzi ilipeleka magari ya serekali yao etc hio ndege inawaumiza sana
Wacha ujuaji ushaambiwa cargo inaelekea Europe, Middle East, China na US! Sasa unavyolazimisha ndege za short range sijui akili yako unaifukia wapi?Joburg , Nairobi, Harare, Lagos, Inaweza kwenda middle east Dubai, Sharjah , Muscat , anyways tutaona watachochagua
Hapa inabidi mama aone hii opportunity aagize hata cargo jets mbili za intercontinental range maana biashara ya perishable goods inakua kinoma! Cargo kutoka Tanzania esp. Mwanza na Mbeya ipo on trajectory! Ule mpango wa cold storage Songwe airport vp umefikia wapi?Aisee sasa vile vi regional jets vitabeba nini sasa au vitakuwa feeder aircrafts 🤣🤣🤣
54 tons kama sijakoseaTani 52 vs Tani 18.
Hata mimi ningekataa maana sio kwa huu ukatili. 😂😂😂
Ngoja vile vi regional jets vyao viokoteze mzigo from Uganda, Cameroon sudan congo na kila mahali walete JKIA sisi tuupeleke Dubai, mumbai, Guanzhou, japan etc
Sio tuu kuwaumiza bali ni the first in whole of Africa 767 300FInabeba mzigo kokote sio tu nairobi hata zambia majuzi ilipeleka magari ya serekali yao etc hio ndege inawaumiza sana
Sana na sio padogo254 wamepigwa
South Korea hawana longo longoMchongoko unaingia mwezi March, ni za kisasa lakini je durability yake ikoje?
Hadi moro kitu kipo poa toka enzi za magufuli the chief visionary of morden railwaySisi njia zenyewe bado
Hapana hiyo ya kushoto sio ya Umeme ni ya DIESEL ILA TANZANIA YA UMEME INAFANANA NA HIYO YA KENYA NANI KAPIGWA?Pole wakenya mmepigwa na mtaendelea kupigwa.
Mumeuziwa treni ya mwaka 1960 iliyo pakwa rangi kwa gharama ya treni ya mwaka 2025.haa
View attachment 2876370