Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikuiona hii.
Kijana wangu, seriously?
Zambia imesikia ushauri wako?? Huo ushauri wameusikiaje??
Sio lazima.wasikie ila niliweka proposal humu ya kipi kifanyike kuisadia Tazara iwe profitable in long ran.

Narudia tena kusema Tujenge reli Mpya maeneo yafuatayo
-Kasama(Zambia)-Lubumbashi
-Makambako-Mtwara
-Mpanda-Kilosa
 
Mizigo mingi ni intercontinental but between African states sidhani kama tuna mizigo mingi ya kusafirisha kwa ndege.
Intercontinental cargo mostly inayosafirishwa na ndege ni kama medicines electronics, cars etc and most of these have to cone from outside Africa.
Joburg , Nairobi, Harare, Lagos, Inaweza kwenda middle east Dubai, Sharjah , Muscat , anyways tutaona watachochagua
 
Swala sio Sgr ,ishu ya msingi ni reli ya kuifanya Tazara iwe profitable zaidi.

Pili pamoja na proposal ya kujenga reli kwenda Bandari ya Mpulungu Bado inatakiwa reli inayo cross kwenda DRC na kuungana na Tazara somewhere in Zambia na bila shaka itajengwa miaka ijayo ni Suala la mda tuu.

Mwisho Kwa upande wa Tanzania,hoja zangu ziko pale pale

-Tujenge reli kutoka Makambako Hadi Mtwara
-Mpanda-Kilosa(SGR)
Reli ni kutoka Mtwara mpaka ziwa Nyasa, kama watataka kuchepusha kwenda Makambako ni sawa.
 
Reli ni kutoka Mtwara mpaka ziwa Nyasa, kama watataka kuchepusha kwenda Makambako ni sawa.
Hiyo ya Mtwara-MbambaBay Wala Haina shida Kwa sababu inailenga zaidi Mikoa ya Kusini ya Tanzania na Malawi ila Ina bottleneck kubwa ya Ziwa.

Pili Hii ya Makambako -Mtwara ni muhimu zaidi kuisaidia Bandari ya Dar
 
Mheshimiwa Spika, katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali imepanga kutumia jumla ya Shilingi bilioni 271.00 kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali kwa ajili ya:-i. Kukamilisha malipo ya kimkataba ya ununuzi wa ndege tatu (3) mpya – Ndege moja (1) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner na Ndege mbili (2) aina ya Boeing 737-9;223ii. Kufanya malipo ya awali kwa ajili ya ununuzi waNdege mpya aina ya Boeing 737–7 moja (1) na DeHavilland Q400 moja (1);iii. Kugharamia matumizi ya awali ikiwa ni pamoja na uletaji wa Ndege tatu (3) mpya – Ndege moja (1) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner na Ndege mbili (2) aina ya Boeing 737-9; gharama za bima; gharama za watalaam wa kukagua na gharama za vipuri muhimu vya ndege; iv. Kufanya ununuzi wa injini moja

Yes sijajua G550 itaenda wapi au zitakuwa zinatumika zote 2
Haya bwana naona wana upgrade Air Force One 😁
 
Sio ujuaj kwa ninavyyona cargo business operation , kwani unahisi wako wako right always ??? hawezi kupata oipinion nyingie? mbona kuna vitu vingi tu tunaona wamefanya wanakosea . Mbona we uliwahi kutoa opinion yako kuwa wanahitaji dreamliner nyingine walau 4 ,kila mtu ana opinion tofauti, unahisi cargo operation zinaweza fanywa na 767 tu peke yake ? ingekuwa hivyo ingekuwa haipaki ingekuwa haikai hata zaidi ya siku 3 airport ikisubiria mizigo . it is easier to fill 737 800F wheter they see it right or wrong .
Ati 3 days kwa airport ikiwa imepack juu hakuna cargo 😂!!!
Mnanunua hizi ndege for business ama ni tenders za wanasiasa wajitajirishe,!!!
 
Ati 3 days kwa airport ikiwa imepack juu hakuna cargo 😂!!!
Mnanunua hizi ndege for business ama ni tenders za wanasiasa wajitajirishe,!!!
Na nyie mnavyo lease hizi ndege ni mahitaji halisi ama ni tenda tuu wanasiasa wajitajirishe hasa ukizingatia madeni ya KQ ni mengi yatokanayo na leasing deals.
 
Screenshot_20240119-103142.png
 
Back
Top Bottom