Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waone sasa maisha yao
 

Attachments

  • 20240101_205630.jpg
    20240101_205630.jpg
    352.2 KB · Views: 19
Here is one channel i like to watch, you rich Tanzanians si you come acquire these properties also

View: https://youtu.be/gDTF73EVEeU?si=mO_XuC0blFOwOrYR

Mzee utakua na utani na sisi, Bongo niwe na pesa hizo eti nipange? Mapori kila sehemu, na viwanja vingi nje ya mji, nasimamisha mjengo wangu bila bugudha.

Najua utakuja sema kuhusu magomeni kota, ila ukichunguza sana unaweza kuta ni just investment.

Utatolea mfano nchi za nje, ila nchi za nje ardhi inakua adimu, hivyo kwa anayemiliki nyumba yake tu kuonekana maarufu.

Moja ya sababu ilifanya tusiwe na kota ni hiyo, yaani naweza poromosha mjengo wangu mkaliii nikaishi bila kero yoyote na ardhi ipoo. Eti nikapange.
 
View attachment 2866406
Mombasa is more developed than overrated dar..fact
wakenya mshapagawa wallahi, Dar ina biggest mall in the region U/C, ina electrified railway the longest in Africa, ina cable stayed bridges, ina BRT, ina modern airport, ina the most efficient port na bado mnaifananisha na mji nzee kama Nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom