ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,455
- 88,545
Weka takwimu za January -Disemba 2023.Kulingana na maelezo ya mkurugenzi wa bandar 2022 bandari ya dar imehudumia tons 21.4m, by 2025 tuwe tushahudumia tons 25m kwa dar pekee
Alaf usifkiri hzo no sijui za 34tons kwa mombasa ni za kweli, ni zakupika, coz kwa mtu mwenye akili huwez kwenda mbio ukaumia kwa mtu anaehudumia tons 25 wakat ww unahudumia tons 34, inaonesha kua kuna siri kubwa imejificha kwenye numbers na siku zote numbers hua hazidanganyi lazma zitakuumhua tu
Kwa kulinganisha takwimu za July-Diessmba 2023 ni tani 17 so by the end of year June 30 2024 tunaweza kufikia tani mil.30 plus.