Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee kama hizi tonnage za mzigo ni sahihi yaani mil.17 basi by June 2024 ,Dar Port itabudumia zaidi ya tannage mil.30 na kuweka rekodi Mpya.

Si ajabu Mombasa na Kunyaland wanalia Lia 😂😂

View: https://www.instagram.com/p/C14YPdPNnPv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Bado hawajasema Hadi waseme 😁😁👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1744718889295171711?t=adjfTLu7N3djda3dEdcYAQ&s=19

Ajabu ni kwamba zamani benchmark yao ilikua singapore ila kwa sasa ni tanzania🤣🤣
 
A proper dimwit. They are always obsessed with us, that's why this is the most popular thread in this forum.
Utakua na matatizo, go all over social media zote uone nani yupo obsessed na mwingine.

Ukute wewe ndie ulisema Miso missondo wanatokea kwenu kisa wanavaa koti kama lako, unalozurura nalo CBD ukisubiri msaada wa TB drugs kutoka Nchi unayoikosea adabu.
 
Utakua na matatizo, go all over social media zote uone nani yupo obsessed na mwingine.

Ukute wewe ndie ulisema Miso missondo wanatokea kwenu kisa wanavaa koti kama lako, unalozurura nalo CBD ukisubiri msaada wa TB drugs kutoka Nchi unayoikosea adabu.
Hakuna kipindi Wakunya Wana hofu na Tanzania kama Sasa hivi,walitegemea eti baada ya Kufa Magu wangepata nafuu badala yake kiminyo kimeongezeka twice 😁😁

Kwa taarifa Yao tuu next budget Ina msululu wa miradi balaa ,ndio kwanza kumekucha.

Wakunya mnaona huu uwekezaji wa Mabilioni ya Dola huko Copper belt Zambia? 60% percentage mzigo utapita Dar Port no way mtashindana na Bandari ya Dar Kwa Sasa

View: https://twitter.com/mofnpzambia/status/1744735972787675290?t=Dvq-lE1Oy7fLLCCAbhtRNA&s=19
 
A proper dimwit. They are always obsessed with us, that's why this is the most popular thread in this forum.
Tumejipendekeza na Mount Kenya? Tumejipendekeza na Masai Mara? Tumejipendekeza na Sauti Sol? Tumejipendekeza na Gor Mahia?
Tumejipendekeza na Matatu?
Tumejipendekeza na Daraja la Lamu?
Tumejipendekeza kwa Wanyama or Michael Olunga?
Tumejipedekeza kwa Raisi yoyote wenu?
Tumejipendekeza na Maua yenu?
Tumejipendekeza na kikundi chenu cha vijana kilichotrend mitandaoni?
Tumejipendekeza na SGR?
Tumejipendekeza na Lugha yenu?

ILA UKIGEUZA HIVYO VYA BONGO VYOTE MMEJIPENDEKEZAAA
 
Uganda wamenikosha sana ,Tanesco na Serikali igeni hili jambo
Screenshot_20240109-173847.jpg
Screenshot_20240109-173941.jpg
 

So what?
Samia na Mwinyi Walianza pamoja Urais,Kwa miaka 3 Samia amemaliza tatizo la kuingiza Watoto shule Kwa mafungu kama nyanya(Magufuli alishindwa) na Mwinyi nae licha ya udogo wa Zanzibar na watoto wachache nae kashindwa 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/C14UbWrsFr4/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

But sio mbaya anajitahidi ila Bado sana kumfikia Dada👇

View: https://www.instagram.com/p/C1sFSplN92x/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Back
Top Bottom