Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kujua ni chuki na nchi yake, yeye alikuwa anaponda kila kitu cha Tanzania hadi kwenye huu uzi alikuwa upande wa jirani.
Yaani mtu akufanye uchukie nchi yako, utakuwa na ufinyu wa akili.
Hii miradi yote mikubwa alikuwa anaziponda zote ati hazina faida kiuchumi lakini sasa hivi ni bingwa wa kuzisifia zote. 😂😂😂
Kivevele jinga sana, halijawahi kueleweka, leo kaanzisha uzi anaiponda Mbeya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi ChoiceVariable na Geza Ulole wana mahusiano?
Kwa hiyo kule chumbani Huwa nakufanyaje Hadi ushangae?

Narejerea madai yangu,Kuna shida kubwa sana ya Uongozi ngazi ya Mkoa na Wilaya.Tuangalie muundo Mpya wa usimamizi level hiyo vinginevyo hakuna wanachofanya.

Hawa Huwa wanapelekewa taarifa za kiutendaji wa miradi ya level Yao Kila mwezi lakini inakuwaje miradi inashindwa kuendelea Hadi Mawaziri ndio waje kubaini? Waziri ndio azunguke Kila mradi Nchi hii?

View: https://www.instagram.com/reel/C1zNO0eiiYF/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Walipinga mpaka JNHPP kisa reservoir yake eti litafanya miti mingi ikatwe na hatimae pawe jangwa mazingira yaharibike, hivi em tumuulizeni leo yeye Pamoja na kipara na nape, hapa ni jangwa? 🤣🤣🤣

View attachment 2866004
Nilwahi kuandika hapa kuelezea jiografia ya nyanda za juu kusini ikiwa ni chanzo cha maji ya bwawa na kwa nini hakutakuwa na shida ya kulijaza, sasa huu ni ushahidi. Hakuta kuwa na shida ya maji hapo labda wafanye sabotage.
 
Nilwahi kuandika hapa kuelezea jiografia ya nyanda za juu kusini ikiwa ni chanzo cha maji ya bwawa na kwa nini hakutakuwa na shida ya kulijaza, sasa huu ni ushahidi. Hakuta kuwa na shida ya maji hapo labda wafanye sabotage.
Mtera na kidatu nasikia mvua za march last year ziliyajaza yale mabwawa full,kufika june au july kuna miamba miwili ikataka yale maji yafunguliwe,tanesco walilikataa hilo wazo ila jamaa nasikia wakafosi kwa kutumia vyeo vyao nyakati hizo basi maji yakafunguliwa na ndio huu mgao unaoendelea hadi sasa nasikia sababu ni hiyo
 
Madini House Merelani

View: https://www.instagram.com/p/C137-YXNTDp/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
-1794648658.jpg
359267616.jpg
-941605013.jpg
 
Wabongo mnakuanga mafala tu, nani aliwadanganya hio mall ni biggest in East Africa. 😂 😂 😂 😂 Two Rivers Mall, the building alone ni kubwa kuliko the whole compound ya hio EACLC. Na usisahau two rivers ikona more floors than hio mall yenu ya only two floors.

View attachment 2865823
View attachment 2865824
Bro umeenda kupima ukubwa wa plot.? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom