Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee kama hizi tonnage za mzigo ni sahihi yaani mil.17 basi by June 2024 ,Dar Port itabudumia zaidi ya tannage mil.30 na kuweka rekodi Mpya.

Si ajabu Mombasa na Kunyaland wanalia Lia 😂😂

View: https://www.instagram.com/p/C14YPdPNnPv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Bado hawajasema Hadi waseme 😁😁👇👇

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1744718889295171711?t=adjfTLu7N3djda3dEdcYAQ&s=19

Kwahiyo washakubali kwamba Dar port iko mbele yao 🤣🤣🤣🤣🤣
 
We mshamba nini? Unadhani malls hua shopping spaces pekee? 😂 😂 😂 Najua hamjazoea malls huko bongo lakini sio lazima uonyeshe watu we ni mshamba. Malls hua na retail shops,supermarket, night clubs, restaurants, offices, banking halls, cinema, medical centers or hospitals, hotels, etc. Yani mall ikona kila kitu in one place. Kwanza sijui mbona munaforce kuita hio kitu mall na clearly wamesema ni business center tu with warehouses na vijiduka vidogo vidogo. Facility ikona 1000 parking slots while two rivers ikona over 2000 parking slots na bado unadai kubishana. Anyway wacha hio kitu munaita mall iishe tuone size ya hizo 2000 shops. I can't wait to laugh. 😂😂😂 Kwanza who is the anchor tenant kwa hio mall yenu?
Nenda kafie mbali bwege wewe, hiyo East Afrika logistics centre ni business center pia ni mall, so nenda kalilie kwa choo.
 
Wewe tena umeanza kumsifika magufuli, hivi kulikuwa kuna sababu gani ya msingi ya kuwa na naibu waziri mkuu, kama siyo kumletea sonono Majaliwa?
Sijasifia mtu nimekupa mfano wa Mungu wako umpime huyo unayempigia debe!
 
Kwa hizo hesabu ndio kusema by June report Dar Port tayari itakuwa na 34 mln tones ambazo wamekuwa wanalingia miaka na mikaka.
Kulingana na maelezo ya mkurugenzi wa bandar 2022 bandari ya dar imehudumia tons 21.4m, by 2025 tuwe tushahudumia tons 25m kwa dar pekee

Alaf usifkiri hzo no sijui za 34tons kwa mombasa ni za kweli, ni zakupika, coz kwa mtu mwenye akili huwez kwenda mbio ukaumia kwa mtu anaehudumia tons 25 wakat ww unahudumia tons 34, inaonesha kua kuna siri kubwa imejificha kwenye numbers na siku zote numbers hua hazidanganyi lazma zitakuumhua tu
 
Back
Top Bottom