ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,482
- 88,619
Are we talking about floors or area? All I know, it's original design was ugly like your Ubungo mall. I'm glad they changed it.Hiyo ipo na floors ngapi?
Kwahyo ubungo Mall inakaa hivyo.? 🤣🤣🤣Are we talking about floors or area? All I know, it's original design was ugly like your Ubungo mall. I'm glad they changed it.
View attachment 2866123
It's a low quality mall with an exaggerated size. You can't compare that market to two rivers.Kwahyo ubungo Mall inakaa hivyo.? 🤣🤣🤣
Habari njema Kwa wote humu jukwaa 😁😁
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1744656532254441686?t=gNICnBex3hRe2w5emI1vFA&s=19
Bwahahahahaha..!! Hii kali ya mwaka 🤣🤣🤣🤣It's a low quality mall with an exaggerated size. You can't compare that market to two rivers.
We jamaa ni balaa, nimesoma hiyo habari na comments nimezisoma pia lakini sija'notice kama bango la maandishi ya hiyo entrance halijanyooka. 🤣🤣🤣🤣Imagine details ndogo ndogo ni tatizo kwao ,hata kuweka hilo bango linyooke ni shida 😂
Kwani ugomvi mtu wangu. Kunitajia floors tu umeshindwa!!?Are we talking about floors or area? All I know, it's original design was ugly like your Ubungo mall. I'm glad they changed it.
View attachment 2866123
Vile vituo ni hovyo sana!! Baada ya kwenda mbele, tumerudi nyuma hatua kumi. Watu waliokuepo kwenye madaraka wanapenda vitu mediocre sana!Nimesema sana hapa kuwa hii kampuni ilivunga.
Vile vituo havina ubaya huo unaoungelea mkuu.Vile vituo ni hovyo sana!! Baada ya kwenda mbele, tumerudi nyuma hatua kumi. Watu waliokuepo kwenye madaraka wanapenda vitu mediocre sana!
Vile inafaa, wabongo tunawajua hampendi data, munapenda umbea, mkipewa evidence munaanza lawama. 😂 😂 😂Bro umeenda kupima ukubwa wa plot.? 🤣🤣🤣🤣🤣