AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,113
- 2,965
Ila wadau twende mbele turudi nyuma hapa kwenye bandari bado tunafeli sana sijui tatizo nini hapa
Mkuu kwenye Dar port haina kufeliii..
Kuna Berth 0 hadi 3 hizo ni uhakika muda wowote na meli hazisubiri zaidi ya 3 days zimeondoka.. Hao ni wa haraka
Hao wa kusubiri maana yake na mzigo wa kuondoka ni mkubwa.. Hawezi Kuja na kuondoka maana ana shehena ya kupakia.. Ukijumlisha muda wa kushusha na kupakia ndo tunapata muda huo..
Na kukiwa na mzigo mwingi wa kupakia meli itasubiri tu hata zaidi ya mwezi maana kuna malipo ya surcharges.. Hakuna hasara... Hizo meli ambazo zina mzigo wa kushusha tu hakuna wa kupakia ndio wanaweza wasisubiri foleni meli ikaenda Mombasa..
Dar port ina mzigo mwingi wa kuingia na kutoka ndio maana Meli nyingi ziko nje kwa foleni kusubiria neema hiyo ya Ku call in Dar port.