Bado watabishia hizo ship data 🤣🤣🤣
Yule anaeleta siasa za kichawanani huyo, Kiranga? au?
Bandari gani hii chafu hivi inakaa slum with zero order plus gantry crane za 1995!!!Kwa Sasa katika bahari ya Hindi ni bandari mbili tu zinapiga kazi na mzigo unaoeleweka.. Durban then Dar es salaam port... Ndio wengine huko wanafatia...
Nyonga kabisa nyang'au hizo..
View attachment 2856821View attachment 2856823
Hii ni Software gani boss?
But the googlemap u just posted doesn't tell of when those ships arrived and when will depart! What if they not in operation?
Ila wadau twende mbele turudi nyuma hapa kwenye bandari bado tunafeli sana sijui tatizo nini hapa
Tanzania tuna growth kubwa kwenye sekta ya manufacturing,Kilimo,Madini, construction, Transport na finance na ICT
Sasa hivi wanafata nguo Tanzania badala ya China. 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/C1WbqDXMq2D/?igsh=ZXk0amprcmRtMjc4
Growth ya construction industry paints a clear picture of the state of ongoing construction activities which is quite different from what is portrayed here.
Asante kwa data. Will keep that for future reference 😁
mzee baba so mimi nimekuwa SI unit? 😉😉😉
Bandari gani hii chafu hivi inakaa slum with zero order plus gantry crane za 1995!!!