Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Traffic jam in Dar port is because of inefficiency. How can a single ship last 16 days to be offloaded? Isn't that not inefficiency?
Traffic jam in Dar port is because of inefficiency. How can a single ship last 16 days to be offloaded? Isn't that not inefficiency?
Leta evidence from reputable institutions kwamba Dar port is inefficient otherwise shut your bowl.
 
Sio vibera kule Twitter na humu tu, hadi watendaji wa serekali yao wameumia mzee wangu 🤣🤣🤣 watu Wana update data za kupika tu 🤣🤣🤣Sisi bhana ni zaidi yao
Yaani efficient ya Dar port imewaleta hadi waliokimbia uzi. 😂😂😂
Nenda Google search andika "Most efficient port in East Africa"
 
Boss , unalaumu TIC bure tu,
Ukweli ni kuwa the whole gov is led by average people, kuanzia mama hadi 90% ya wasaidizi wake ni average IQ, yaani tuna bahati mbaya sana kama taifa . Nchi ina vijana wengi wenye talents , lakini zote huishia na kupotea.
Miaka zaidi ya 60 hatuna kitu tunafanya , what are we producing as a Nation ? , Nothing ? Wapi ubunifu? Hatuna technology yoyote , tupotupo tu,
Kwani kuna ulazima gani wa majeshi kuagiza magari ya Iveco wakati Nyumbu wanaweza kutengeneza trucks ?
Ni kweli hatuwezi tengeneza silaha ? Mbona wazee wa zamani waliunda gobole zikafanya kazi vizuri ?
Sasa kama hata bandari au mwendokasi hatuwezi kuendesha tunaweza nini ? Are we sure we are humains ?
Inasikitisha sana serikali inamefilisika kabisa hata mawazo tu, Nyerere alipiga marufuku madini ya vito gemstones kuchimbwa na wageni kabisa na ndio maana miji kama ya Arusha ilikua kwa kasi sana sababu ya locals kuchimba Tanzanite wenyewe hence ikapelekea uchumi shikirishi kukua na kunufaisha locals wengi sana, baadae wasio na akili wakaruhusu mpaka wakenya wakawa wanakuja kuchimba, Magufuli alipoingia akawafukuza na kuzungusha ukuta, mpaka wanyarwanda walikua wanachimba mle kisa tu mamlaka wanayo wasio na akili wala aibu

Huwezi kusema wananchi wajiongeze wenyewe bila kuwawekea sera na mikakati ya kufika dunia ilipo leo, bado watanzania wengi wapo kwenye feudalism state of thinking, modern economy bado wengi hawajui, wengi wanamiliki mifugo mingi, mashamba makubwa wanaficha pesa uvunguni, ndani ndani huko watu wana pesa nyingi sana lakini hawajui wazipeleke wapi, serikali kupitia mabanki na taasisi kama TIC inatakiwa ije na incubation program kuwavusha watanzania wenye capital potential kutoka kwenye primitive economy.
 
Yaani efficient ya Dar port imewaleta hadi waliokimbia uzi. 😂😂😂
Nenda Google search andika "Most efficient port in East Africa"
Hahahahaha. Most efficient with less than 20 million metric tones of cargo? While in Kenya we are trying to beat the 40 million mark this year. Sit this down please
 
n still u can't afford decent housing n 3 meals a day! Nani anaandamana kuhusu unga?
Those who stays in slums aren't employed. I'm sure most employed Kenyans in this forum earn more than employed Tanzanians here.
 
Walati wakiendelea kujifariji sisi tunapuga kazi tuu.

2023 ndio mnafika 23 million metric tones? Mombasa in 2016 alone hanlded more than 27 million
source

1703861678236.png
 
Back
Top Bottom