Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 Hizi habari zote zimekuja baada kuona video ikionyesha ule msururu wa meli kuelekea DAR port 😂😂😂 jamaa mnatuogopa sana, kumbe hadi watendaji wa serekali yenu wanatuogopa hivyo.? 🤣🤣🤣🤣. Feel sorry for you haters.. kuwapita kimaendeleo ni lazima wakuu. We are claiming our status of being the largest economy in the region.
These updates are always there every year. We only shared them to diffuse your shenanigans. Stop feeling special.
 
Unajuaje sijahamia?

Jifunze Kiswahili.

I am not about your petty nationalistic squabbles.
Na huku umekuja kuleta ubishi? 😆😆

Wewe Rudi kwenye jukwaa lako la unajimu na uganga kule mkaparuane na mshama ,huku unataka Kuchafua jukwaa letu.
 
🤣🤣🤣🤣 Hizi habari zote zimekuja baada kuona video ikionyesha ule msururu wa meli kuelekea DAR port 😂😂😂 jamaa mnatuogopa sana, kumbe hadi watendaji wa serekali yenu wanatuogopa hivyo.? 🤣🤣🤣🤣. Feel sorry for you haters.. kuwapita kimaendeleo ni lazima wakuu. We are claiming our status of being the largest economy in the region.
Wanajifariji na kuficha aibu 😁😁
 
Na huku umekuja kuleta ubishi? 😆😆

Wewe Rudi kwenye jukwaa lako la unajimu na uganga kule mkaparuane na mshama ,huku unataka Kuchafua jukwaa letu.
Mafikiri unanifananisha na mtu mwingine.

Huyo Mshama simjui.

Huna jukwaa lako. Usijipe umuhimu ambao huna. Sijaleta ubishi nimesema fact tu, tatizo hamtaki fact mnataka ushabiki.
 
Back
Top Bottom