Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani kwenye hizo points ni za simba pekee? za yanga hazipo hapo? msimu uliopita Yanga kacheza fainali unaonaje hapo? sasa nasemaje kila mtu ashinde mechi zake, tuone nani mkubwa.
Mbishi we jamaa kwani yanga kaanza kuingiza point lini? Na nakumbuka Namungo alikua na point nyingi kuzidi Yanga, na si mwaka jana tu Yanga kaingia.

Simba yupo enzi za Aussem, Kishingo, Da Rosa
 
Haya sasa compare na izo takataka mnauziwa.
It's like heaven and hell.
Kila nchi inanunua bus kulingana na specifications inazohitaj kwa wenzetu wanahitaj bus kama hzo kutokana na condition zao ndio maana unaona most of african bus zinafanana kutokana na africa ilivo, sio nyinyi munaochonga body kwenye chasis za malori

Imagine hii ndio type ya bus inabeba mafuvu yenu 🤣🤣🤣🤣
images - 2023-11-11T200808.360.jpeg
images - 2023-11-11T200814.745.jpeg
 
Mbishi we jamaa kwani yanga kaanza kuingiza point lini? Na nakumbuka Namungo alikua na point nyingi kuzidi Yanga, na si mwaka jana tu Yanga kaingia.

Simba yupo enzi za Aussem, Kishingo, Da Rosa
eti namungo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

sikia nikuambie nyie watu wa Simba msijifiche kwenye kichaka cha points, kwa sasa tunaangalia performance ya timu, hayo mambo ya points sijui kuingiza timu nyingi cafcl ilikuwa lazima iwe hivyo kutokana na investment iliyofanyika kwenye ligi, wala sio Yanga au Simba, kwasasa nasema kila mtu ashinde mechi zake, hatutaki mambo ya historia, kama historia Yanga ana historia kubwa kuliko timu zote Tanzania.
 
Haya Boss, unaonekana unaweka Ubishi mbele zaidi, by the way me sio simba niliona unaweka ushabiki zaidi, wakati kiuhalisia ni tofauti.
 
Back
Top Bottom