Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Traffic jam in Dar port due to increased trade and not otherwise. According to WB Dar port is ahead of Mombasa, Beira and Durban in efficiency sasa sijui mnaongelea efficiency gani hapa.
Traffic jam in Dar port is because of inefficiency. How can a single ship last 16 days to be offloaded? Isn't that not inefficiency?
 
Hivi wajinga wa mwisho ndio wale wa mwisho kwa ujinga hivyo wanakaribia ujanja? Au ndiyo wa mwisho kabisa wako mbali kabisa na ujanja?

Kwa nini unasema hivyo mkuu? Mimi muda wote niko radhi kujifunza kutoka kwenye ujinga wangu.

Hebu nieleweshe nipate darasa hapa.

Usiishie kufanya ad hominem attack kutoka kwenye hoja kumshambulia mtoa hoja.

Hiyo ni alama ya mtu asiye na hoja.
Sikuelewi
 
Traffic jam in Dar port is because of inefficiency. How can a single ship last 16 days to be offloaded? Isn't that not inefficiency?
Wacha kutaka ku ignore ukweli wewe kima, msururu wa meli DAR port unatokana na kuongezeka kwa biashara that's the fact number 1.. Demand imekua kubwa, na ikitokea tutaongeza miundombinu it's clear that sisi ndio tutakua giants hiyo sector.. wakati tuki record number ndogo za mizigo zenye we handled those years uliwahi ona hio misururu ya meli pia.? 🤣🤣🤣 Kubali ukweli tuliza kinyeo, subiri takwimu za DAR port 2023.
 
Cargo tonnage in Dar port hata haitafika 18M while in Mombasa it's already 33M.
 
Back
Top Bottom