Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 You guys are jokers right?
Nioneshe picha kama hii kutoka hapo kijiji cha Mwanza. This is Mombasa skyline
1698560426781.jpg
 
Kwani nyie mnavyopiga nduru reli yenu ifike kwa LDC Uganda itawasaidia vipi? Tuanzie hapo kwanza.
Uganda does more imports than than shithole called Burundi and it has largely depended on Mombasa port for ages. Saa zingne unafaa kuwa na maarifa kuhusu vitu fulani
 
uwa nikiona mambo ya kiserikali halafu kuna hizi mbwa za kijani zimefika eti "KUKAGUA MRADI" uwa naishia kucheka tu mwenyewe coz ata USA huwezi ukakuta Democratic au Republican wanaingia shughuli za kiserikali......CCM inatuletea ushamba sana hapa
Ccm ni chama Dola, habari za western democracy haipo.

Ulishawahi ona Demokrasia Egypt? Kule Jeshi limeshika hatamu Kwa mgongo wa siasa.
 
Yes that's the point. An efficient port should have the supporting infrastructure to enable it handle the incoming cargo volume. A port may handle just two or three ships per month but they end up staying at the dock for ages. That's inefficiency.

Durban port having more ships on the outer anchorage than Mombasa shows its (Durban's) inefficiency than Mombasa. At the end of the day, an importer would prefer Mombasa more than Durban. That's the point
Sasa mbona takwimu zinasema Dar port ni the most efficient than all East Afrikan ports, tulete ushahidi?
 
Back
Top Bottom