Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ilibidi nicheke kwanza 🤣🤣🤣 there are two biggest housing projects U/C in DODOMA more than 4500 houses .. huu unaitwa mradi wa nyumba 3500. Ni mji mzima huu 👇mradi una ukubwa sawa na Kisumu city center yote. 🤣🤣👇 Sahii there are 300 houses already. View attachment 2839333👇
View: https://www.instagram.com/reel/Czu4wIZIWoc/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==. Kuna huu mradi mwingine wa nyumba 1000, nyumba 400 tayari zimeshajengwa 👇
View: https://youtu.be/zYNOWjkwJ_U?si=dxUCX0IcBb0-Cabq. 🤣🤣🤣 Do you have anything in comparison.? 🤣🤣🤣🤣

Mjomba umetumia rungu kubwa sana but for true ni kama area ya kisumu nzima inajaa apooo
 
Ilibidi nicheke kwanza 🤣🤣🤣 there are two biggest housing projects U/C in DODOMA more than 4500 houses .. huu unaitwa mradi wa nyumba 3500. Ni mji mzima huu 👇mradi una ukubwa sawa na Kisumu city center yote. 🤣🤣👇 Sahii there are 300 houses already. View attachment 2839333👇
View: https://www.instagram.com/reel/Czu4wIZIWoc/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==. Kuna huu mradi mwingine wa nyumba 1000, nyumba 400 tayari zimeshajengwa 👇
View: https://youtu.be/zYNOWjkwJ_U?si=dxUCX0IcBb0-Cabq. 🤣🤣🤣 Do you have anything in comparison.? 🤣🤣🤣🤣

dodoma.PNG

Najua amuwezi fungua video nimejitolea for topestanism dude linatisha
 
Bongo tunakimbiza mwizi kimya kimya ndio maana wakenya wanaokuja tz uwa awatamani kurudi nchi ya naiporism
Screenshot_20231211-144348_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20231207-171633_TikTok.jpg
hizi video zimechukuliwa na mtu mmoja ni mkenya na siku 1,upande wa TZ na upande wa kunyalazy,jamaa alianza kuwaonyesha kunyan kuanzia mpaka wa TZ na malawi akaingia mbeya,iringa,dom hadi arusha,alipovuka boda upande wa kunyalazy mazingira yakabadilika ikawa comment za wakunya wenyewe kwa wenyewe sasa wanabishana
 
Attachments

  • b702991dc80df1bc0e335e8cb2750851.mp4
    18.4 MB
  • 391e8353e96e97e02a1b451ff1e42995.mp4
    10.5 MB
Kunyalazy uwa awashtuki kama wamekataliwa sehemu utakuta wanajipemdekeza hivyo hivyo,sasa wadai pipes zitapita kwao wao zinawahusu!jinga sana kunyalazy
Walishaaminishwa kuwa wao wana infrastructure nzuri za ku support logistics 🤣🤣🤣🤣

Wanasahau hizo bomba zinasafirishwa mpaka Kahama kwenye kiwanda cha coating then ndio ziende kuwa installed.
 
Back
Top Bottom