Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa Tz utaifananisha na Kenya kwenye purchasing power? Mm huku mtaani huwa tunatumia neno Kenya au Ethiopia kama njaa, yani mtu akikuuliza 'oyaa vipi mwanangu una jero apo' ukimjibu 'kama Kenya mwanangu' au 'kama Ethiopia mwanangu' manaake hana kitu yani njaa tu.
We mzee fala sana, nimecheka kiboya sana……😂😂😂😂
 
Acha ujinga aliyekuambia haziwi branded Moshi na Arisha ni nani?
Unafikiri tour companies zetu zinapeleka gari zao Naipori? Zote zinatengenezewa Moshi.
Naamini hilo jibu sio la kwangu 😂😂😂😂😂😂
 
Wewe bongolala Wacha kuforce maneno, utaonekana mjinga tu.

Kenyans access both KCSE and KCPE results on KNEC portal and through SSD.

This is the KNEC portal. In case kuna dadako ama dungu yako alifanya mtihani wa darsa la nane, feel free to check their results here
We ulikuwepo hii mada ilipoanzia au unakurupuka tu kucomment. Stupid
 
What is the meaning of this ? Kindly clarify View attachment 2838182View attachment 2838183
What's the meaning of this?
Screenshot_20231209-213458_1.jpg
 
Ni kampuni ya Tanzania hiyo RSA -Rajinder Singh Africa wako Moshi ndio head office yao.
RSA ni kampuni ya mhindi with an ugly branch in moshi and a sparkling and beautiful one in Mombasa road.
 
Back
Top Bottom