The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Haya masenge yamejengewa expressway na mchina angalia ilivyo sasa hata mwaka haijamaliza.
Third rail?There's nothing like electric railway.
Mwenye maisha magumu ni wewe watchman unayekesha kwa giza na kuumwa na mbu usiku kucha. Most of you Tanzanians are really poor.
Anakesha kwa giza kwani anafanya kazi Jomo Kenyatta International Airport?-JKIA 😁Mwenye maisha magumu ni wewe watchman unayekesha kwa giza na kuumwa na mbu usiku kucha. Most of you Tanzanians are really poor.
Kwani report ya World Bank inasemaje kuhusu Dar and Nairobi real estate?After kuona vile ujenzi unaendelea Nairobi umeanza kulia😂😂😂.
Na ujue Nairobi ni twice richer than Dar is Slum.
ChekGiz wifi yangu huwa inawaker🤣View attachment 2838994
Cheki ulivyotulia kwa giza vile huna wasiwasi kabisa 🤣🤣🤣Kumbe wifi yangu huwa inawakera🤣🤣🤣.
View attachment 2838994
The best city in the world with greater gdp😎😎😎
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1733899338554703946?s=46&t=Gk_LOJEb9honMaAa38VMYw
Muingereza wa mchongo 🤣🤣🤣🤣Huyu muingereza na cockney yake katupa dongo 🤣🤣🤣🤣
hii ndiyo hub of East Africa!Aki nimecheka sana. Ati hii ndio nchi yenye jidipii kubwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona haiendani na uhalisia?
Yani wanaigopa tanzania kuliko mtoa roho😁😁
Eti tuna battle, tuna battle nn na hawa watu wenye njaa, wana slums kushoto kulia tuna battle nn sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Assembly is different from fabrication you fool.rudi nioneshe any factory inatengeneza scania mwanzo mwisho hizo kuunganisha ni sawa na mfanyabiashara wa kariakoo anayeagiza pikipiki za magurumu matatu anakuja kuunganisha huku vipi naye anatengeneza?
Ebu tuonyeshe report ya 2023 tuone.Kwani report ya World Bank inasemaje kuhusu Dar and Nairobi real estate?
Unaandaa taarifa mwenyewe Halaf unakuja kupost hapa wewe ni kichaa haswa. 🤣🤣🤣🤣Ati wanataka kushindana na Nairobi.
View attachment 2839298
Makasembo affordable Housing Kisumu. Housing construction is everywhere in Kenya.Unaandaa taarifa mwenyewe Halaf unakuja kupost hapa wewe ni kichaa haswa. 🤣🤣🤣🤣
Cry louder.Unaandaa taarifa mwenyewe Halaf unakuja kupost hapa wewe ni kichaa haswa. 🤣🤣🤣🤣