Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara zenu kwani huwa mnazinyima bitumen ,
Always white zimeparara!!!
Barabara za Kenya hasa za hapo Nairobi ndio zimepauka na Zimejaa vumbi jekundu.

Barabara zetu ziko sawa
IMG_0155.jpg
IMG_0157.jpg
 
Mshukuru mungu mlikutana na kizazi cha wazee wetu wastaarabu ila kwa kizazi cha sasa hivi tz mtajuta mtajua hamjui nawamwambia kuna wadogo zetu wanakuja na moto mwingi ndio wako tiktok kaka zao tumewanesha namna ya kuitangaza nchi yao na yale watu hawajui wapaswa kujuzwa tutapiga hizo kichwa hadi mpige nduru.
 
Mshukuru mungu mlikutana na kizazi cha wazee wetu wastaarabu ila kwa kizazi cha sasa hivi tz mtajuta mtajua hamjui namwambia kuna wadogo zzetu wanakuja na moto mwingi ndio kaka wako tiktok kaka zao tumewanesha namna ya kuitangaza nchi yao na yale watu hawajui wapaswa kujuzwa tutapiga hizo kichwa hadi mpige nduru.
Saizi tumeamua tuweke pembeni undugu,ni maslahi kwenda mbele mkunyalazy akikatiza tunakula kichwa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom