Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ulikua bado haujaridhika ile jana.? 🤣🤣🤣. Huu mradi naujua ni gorofa tatu tu.
Uliguza pabaya. Nyinyi hamna any housing projects zinaendelea huko uchawiland. Your purchasing power is very low hamuezinunua manyumba🤣😂🤣.

Anyway this is the progress of that project. Umehesabu floors ngapi hapo?
1702282779131.jpg
1702282773750.jpg
1702282759031.jpg
 
Wewe ni Kati ya 2011/2012 Tz tulianza kutumia huduma za serikali kimtandao. Kama itakua nimekosea kujua hii taarifa mapema Tanzanians mtanisahihisha.
2011 ndio tulianza mambo ya huduma kimtandao
Mambo mengi yalibadilika hapo tuliama kutoka analogy to digital..wakina azam, mpesa tigo pesa usajili wa laini viliibukia hapo na mengine mengiii..
 
Yani kuskia mahindra wanawekeza plant ya uhakika ya magari tanzania basi wanakwenda mbio kama saa mbovu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na tanzania hua haibahatishi ikiamua kitu basi ni cha uhakika sana

Hvi kwann wakenya wamekua waoga sana na tanzania 😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Endeleeni kuunganisha tingatinga😂😂🤣🤣
 
Uliguza pabaya. Nyinyi hamna any housing projects zinaendelea huko uchawiland. Your purchasing power is very low hamuezinunua manyumba🤣😂🤣.

Anyway this is the progress of that project. Umehesabu floors ngapi hapo?
View attachment 2839322View attachment 2839323View attachment 2839324
Ilibidi nicheke kwanza 🤣🤣🤣 there are two biggest housing projects U/C in DODOMA more than 4500 houses .. huu unaitwa mradi wa nyumba 3500. Ni mji mzima huu 👇mradi una ukubwa sawa na Kisumu city center yote. 🤣🤣👇 Sahii there are 300 houses already.
Screenshot_20231211-113701_1.jpg
👇
View: https://www.instagram.com/reel/Czu4wIZIWoc/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==. Kuna huu mradi mwingine wa nyumba 1000, nyumba 400 tayari zimeshajengwa 👇
View: https://youtu.be/zYNOWjkwJ_U?si=dxUCX0IcBb0-Cabq. 🤣🤣🤣 Do you have anything in comparison.? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom