Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatakaje? Au Chalamila ndo mtu serious kwako? Mimi naona yuko njia sahihi kuwa-push makandarasi wa kichina kuja na mipangokazi ya kumalizia miradi yao iliyochelewa!
Mm siongelei mambo ya chalamila naongelea waziri kwenda kushuhudia utiaj saini wa 7km hii hapana kwakweli 😅😅😅😅

Kitu ya kufanywa hata na katibu mkuu wa wizara au hata mkuu wa wilaya
 
So na goli la yanga lilifungwa kipindi gani ??
Ww punguza bangi kwa level ya yanga kuringanisha na ahly yanga kacheza mpira mkubwa sana wao wenyewe wanaondoka hawaamini nimeskia mpaka baadhi ya mashabiki wao wanasema wameshangaa sana kuona yanga imecheza mpira vile 😅😅

Ww ulitegemea yanga wangerudisha goli dakika zile ?? Na huo ndio ukomavu wa football, unatuletea link za wachambuzi wasiojua hata kuchambua maisha yao🤣🤣

Na hakuna kundi gumu kama kundi la yanga unajua kwann? kundi la yanga team zote ni mabingwa kwenye nchi zao
Hilo kundi lina ugumu gani? Si nyie mlisema hapa Al Ahyl ni unga unga au sio nyie? sasa leo limekuwaje kundi gumu?
 
Ila yanga wamechezea mpira mkubwa sana kwa kweli yanga itashangaza africa 🤗🤗
Kiongozi hi ni champions league tunacheza objectively. Mambo ya anayo anayo sijui kampa kampa tena hayo tumewaachia wazanzibari.
 
So na goli la yanga lilifungwa kipindi gani ??
Ww punguza bangi kwa level ya yanga kuringanisha na ahly yanga kacheza mpira mkubwa sana wao wenyewe wanaondoka hawaamini nimeskia mpaka baadhi ya mashabiki wao wanasema wameshangaa sana kuona yanga imecheza mpira vile 😅😅

Ww ulitegemea yanga wangerudisha goli dakika zile ?? Na huo ndio ukomavu wa football, unatuletea link za wachambuzi wasiojua hata kuchambua maisha yao🤣🤣

Na hakuna kundi gumu kama kundi la yanga unajua kwann? kundi la yanga team zote ni mabingwa kwenye nchi zao
Huyo huwa ni mjinga siku zote, hakuona goli tulilowakosa dakika za mwisho, hii Yanga ina mapungufu machache sana tukiyafanyia kazi tutakuwa one of the best football team in Africa.
 
Back
Top Bottom