Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo nyie ma nyang'au mnajitoa kwenye Kiswahili?? Itakuwa vizuri sana! Mtuachie Kiswahili chetu, msikiongee, mkipige marufuku huko kwenu na msisahau kuturudishia Mombasa yetu. Msije kututesea ndugu zetu.
tutakuwa urusi huko mbeleni wasijisahau lazima ndugu zetu warudi majimbo ya walowezi wa kitanzania tutayarudisha.
 
Nilisema wakundustan wakijua nusu tu ya miradi inayoendelea Tanzania kwa sasa wangeandamana mwezi mzima kuiondoa serikali yao madarakani, sasa mnajionea yanayoendelea EA on social media baada ya kuona tunatest mitambo 😂😂😂

Wanang'aka wakati hiyo ni Locomotive ya mwisho 3rd class.

Kuna hii First Class
1701603113280.png

Then Second Class
Locomotive yake either iwe hii or

1701603231511.png

Iwe hii

1701603346978.png

Whichever the case, kazi bado wanayo kubwa.
 
Alafu hiyo NCHI ya GDP kubwaaa, yenye ugomvi na madirisha kwa maghorofa, ya ngijangija, yenye flying toilet, Yenye kupaka rangi ya nyumba bus.

Hakuna sehemu nyingine nchi nzima ya kupokelea msaada zaidi ya Ikulu, ni aibu sana kuletewa Sim Tank aka madumu makubwa na viroba vya unga Ikulu, na picha inaenda hewani.

Bongo sijawahi ona Ikulu inapokea vitu may be nionyeshwe, mara nyingi misaada inapokelewa site inayoenda, na either kiongozi wa chini zaidi.

Alafu humu wanakaza fuvu, eti Nchi kubwaa.

Naona siku hizi wanaidharau ile EACLA Pale Ubungo ngoja ikamilike wajue ni Mall ipi inaingiza pesa EA.
 
Unajiuliza hapo kuna nini kichwani mwao, eti kuna mwingine alisema Kenya is 30 year ahead of Tanzania, whatever in Tanzania is already in Kenya, akatandikwa swali BRT ipo tuanzie hapo, hukuonekana tena.

Kuna wajinga waliichukua Tren ya mkoloni wakaanza kusema TZ tuko nyumaa mara Garimoshi lao liko 30 year ahead, unajiuliza vipi, hawajui kwamba sisi zamani tuliona reli ya mkoloni inasumbua tukaanza on scratch na ELECTRIC SGR njia ile ileee.

Alafu hapo mpumbavu kasema Already in Kenya, hua najiuliza kuna tatizo gani vichwani mwao.
 
Wakenya ni watu wenye wivu na roho mbaya sana na wao hufikiri tanzania ndio mhasimu wao mkubwa kumbe wanasahau mchawi wao ni umaskini na njaa😁😁😁

Ni watu ambao hawana sana exposure ya nchi za africa wao kitu hudhani kwamba wako level sawa na finland au singapore sasa wanashtuka leo kumekucha wanatafuta shuka, endeleeni kuwazoea ni watu waliochanganyikiwa sana sasa hvi ndio maana haoni tabu kuongea pumba yoyote
 
Mkunya huwa akubali kushindwa siku zote atatafuta any excuse aonekane mbabe 🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom