Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chuma kilikuta Nchi imesimama na failed kama Kunyaland?

Zile maneno za nikifa sijui kama miradi itakamilika Zimeishia Wapi?

Mwisho chuma Cha Sasa ni 🔥🔥 kuliko Makelele ya Chuma Mwendazake
asee chuma inaingia ilikuta soko letu la ndani nyangau bidhaa zao zimefurika akaanza kuzichanga sasa kila mmoja anapenda vya nchi yake masoko yamefurika made in tanzania. ile sabuni yao jamaa sasa amempata mwarobaini anaitwa malaika natokea sijui zanzibari ni sheeda.
 
Ushajikatia tamaa maskini ya Mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aah wapi!? Hivi mbona nyie watu wa chuki na unafiq kiasi hiki. Hivi nyinyi mnaitana kaka ila roho zenu mbaya nakwambia. Mi nawajua tena kwa sana asikudanganye mtu
 
Back
Top Bottom