Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,927
- 103,797
Napenda sana namna wabongo wameamka namna hii. Unyonge umehamia ukundustani.😂😂 tiktok kule kuna wana wanajua kuwanyoosha kunyalazy
We mjinga, hii locomotive ni kwajili ya 3rd class, usijitie wazimu wa kusahau kuwa kuna 2nd na 1st class ziko jikoni.
Kule wananyooshwa hasa,uwa wana tabia kuanzisha online war na nchi nyingine,sasa wakiwachokoza waganda uwa wanawatisha tutawaita wa TZ sasa hivi wakunya wanaufyata 😂Napenda sana namna wabongo wameamka namna hii. Unyonge umehamia ukundustani.
Gdp huna uhakika wa mlo? Labd ni ile GDP imesombwa na mafuriko! Soon mta-claim electrical SGR trains zetu!despite all the noise these tanzanians make over here all day whats their gdp per capita?boring nonsense all day
World class? Which world. Anyway here is mabati rolling mills at mariakani Mombasa . No relationUnahangaika kupost picha ya kitu hata akionekani eti ili upate faraja 🤣🤣🤣. Maumivu yapo pale pale mzee 👇View attachment 2829707View attachment 2829708View attachment 2829709View attachment 2829710View attachment 2829711the one and only world class airport in the region.
It's very funny that a diesel locomotive has a higher speed limit than electric locomotive 😂😂🤣
View attachment 2830888View attachment 2830889
Kwa hiyo nyie ma nyang'au mnajitoa kwenye Kiswahili?? Itakuwa vizuri sana! Mtuachie Kiswahili chetu, msikiongee, mkipige marufuku huko kwenu na msisahau kuturudishia Mombasa yetu. Msije kututesea ndugu zetu.Then you find some Tanzanian baboons bragging here that "Twajivunia Kiswahili kuwa lugha yetu" when the word Swahili is Arabic na lugha pia is Arabic.
Very idiotic creatures.