Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂
Nimecheka vitu vingi sana hapa..
Ila kimoja ni kuwa
- Train yao imedesigniwa kukimbia 120km/h ila anakubali inaweza kukimbia hadi 157km/h. Ila train yetu imedesigniwa kukimbia 160km/h lkn anasema haiwezi kufika 180km/h.. yan ameshikilia hapohapo 160km/h.. inawezekana vip ya 120km/h ifike 157km/h lkn ya 160km/h isifike 180km/h? Kama sio kuchanganyikiwa, ni nn? Wivu?

Pili, kisayansi.. frequency gan unaizungumzia hapa? inaaffect nn au inaaffectiwa vip?
Eti there was no frequency! Frequency gan?
Wacha ujinga
120km/hr ni average speed not the top speed.

Same case yenu average ni 160.
 
Heee.!! Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Firauni 🤣🤣🤣.. enhee haya tueleze sasa according to you train yenu inakimbia km ngapi kwa saa..? Mana tumeona treni ya Tz speed ikosoma 176km/h.
They can go a Maximum of 200km/h under human control.
 
Chuma kilikaa madarakani miaka mitano tu impact yake italisaidia taifa kwa zaidi ya miaka 500 ijayo, hakika tunamshukuru Mungu kwa zawadi hii.
Chuma kilikuta Nchi imesimama na failed kama Kunyaland?

Zile maneno za nikifa sijui kama miradi itakamilika Zimeishia Wapi?

Mwisho chuma Cha Sasa ni 🔥🔥 kuliko Makelele ya Chuma Mwendazake
 
Back
Top Bottom