Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo umeungana na Wakunya kuichafua Nchi kisa chuki Kwa Samia au? 🤣🤣🤣🤣

Ila we Jamaa unatia huruma sana saizi
Kwani ww hupendi ukweli uzungumzwe au ww unafkiri watanzania wote wanaakili kama zako,
Tuliambiwa mgao wa umeme chanzo ni mabwawa kupungua maji sasa hvi mvua inachapa kisawasawa dailypaka maji yanakosa njia ya kwenda sasa huo mgao wa umeme unatokana na nn??

Akili inakaa kumkichwa 😅😅😅😅😅
 
Je pesa $1 Bilion (2.5T) zinaweza ku upgrade Tazara kuwa Sgr au itakuwa ni maboresho ya kawaida?
Hamna mtu mwenye akili anaweza kuibadili Cape Gauge iwe SGR wakati nchi 16 za SADC zina Cape Gauge huko ni kujifunga kibiashara! Mmarekani mwenyewe juzi katangaza Cape Gauge Railway! Cape Gauge ni kwa faida yetu sisi!
 
Kwani ww hupendi ukweli uzungumzwe au ww unafkiri watanzania wote wanaakili kama zako,
Tuliambiwa mgao wa umeme chanzo ni mabwawa kupungua maji sasa hvi mvua inachapa kisawasawa dailypaka maji yanakosa njia ya kwenda sasa huo mgao wa umeme unatokana na nn??

Akili inakaa kumkichwa 😅😅😅😅😅
Nimezipitia ,kaweka data za miaka inayomfurahisha yeye,nimemwambia aweke data zote za kuanzia 2016 hadi 2021,kwa sababu hoja ya serikali ni kwamba mahitaji ya umeme mwaka 2021 yaliongezeka kwa Kasi zaidi kuliko miaka mingine yote iliyopita kutokana na kukua kwa haraka kwa uchumi..

Pili hoja ya serikali ni kwamba Tanesco walikuwa hawafanyi maintenance kwa miaka 5 iliyopita hivyo systems za umeme zimechoka so with sharp demand imesababisha grid kuzidiwa and so umeme kukatika katika..

Na mwisho nimemuuliza kwamba kama hakubaliani na majibu ya Serikyna boss wake Chade ,atuwekee yeye sasa kwa nini umeme unakatika katika? Je wanahujumu Nchi Kisa hawamtaki Samia na Makamba?
Itakuwa mahitaji yameongezeka😄

Na watakuwa hawajawah kufanya maintenance tokea mama awe Rais.😄

Ila hii kauli ya obama wa bongo aliyowadanganya wabongo kuwa hakukufanyika maintenance kwa miaka yote 5, watu wa TANESCO hatutaisahau miaka milele 😄
 
😅😅😅😅 zwazwa anasema wao hawafanyi assemble ila wana fabricate bodies

Eti Teargas je ni kweli hamufanyi assembling??😅😅😅😅😅😅
Wewe ni kama hujui tofauti ya assembling and fabricating. Of which none is happening in Tanzania.
 
Wana assemble vibasi vya kijinga na substandards ndio maana havina soko Nje ya maskini Kunyalands.

Matajiri wa Tanzania wananunua Mabasi sio scrappers View attachment 2810578View attachment 2810581View attachment 2810582View attachment 2810583View attachment 2810584View attachment 2810585View attachment 2810586View attachment 2810587
Unasema tuna assemble vibasi vya kijinga wakati picha uliyoweka ni assembly plant ya Scania iliyopo Nairobi. Si unaona wivu ilivyo mbaya?
 
We fala, Chochote cha Marcopolo ni cha Kenya eeh?
Wewe Lia bwana. Hakuna atakayekuchapa ukilia😂😂

Not just Marcopolo, every Gemilang in Tz, Kenya and UG came from AVA Mombasa.

20231111_171652.jpg
Screenshot_20231111-155455_1.jpg
1699798159683.jpg
1699798518087.jpg
1699798378279.jpg
1699798456983.jpg
1699798477910.jpg
1699798398899.jpg
 
Back
Top Bottom