Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo bus hawalijui hata nitoleo la wapi hebu litafute bus kama hilo japan nikuoneshe jasho la kuku πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Unanionesha mm isuzu kenya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Isuzu hawatengenezi basi. Utafunzwa hadi lini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Isuzu is only responsible for the chassis.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Hebu niambie hii mjerumani anaijua??
They know the chassis.
 
They know the chassis.
Nimekuuliza tolea la hio bus wanalijua je wanajua kama hio chasis imebadilishwa matumizi kutoka kwenye lorry mpaka kujengewa body na kua bus??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
ichoboy01 I thought ulielimika kuhusu mambo ya mabasi kumbe bado uko tu bure? Scania, Isuzu, Mercedes, Man, etc are just responsible for the engines and chassis. Not the body.
 
Isuzu hawatengenezi basi. Utafunzwa hadi lini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Isuzu is only responsible for the chassis.
Unasemaje wewe ???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Screenshots_2023-11-11-19-55-17.png

View: https://youtu.be/3bqOg2o3byo?si=ZAymlcQyarrFLLow
 
Nimekuuliza tolea la hio bus wanalijua je wanajua kama hio chasis imebadilishwa matumizi kutoka kwenye lorry mpaka kujengewa body na kua bus??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hiyo chassis ni ya bus ama hujui kutofautisha chassis ya bus na lorry?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ichoboy01 I thought ulielimika kuhusu mambo ya mabasi kumbe bado uko tu bure? Scania, Isuzu, Mercedes, Man, etc are just responsible for the engines and chassis. Not the body.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… leo nimecheka sana eti isuzu hawatengezi bus kweli, ndio maana hujui hata maana ya canopy
 
Back
Top Bottom