Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hao matajiri wa dunia saud arabia wanatumia golden dragon, 😅😅😅😅

Mchina anakutengenezea kitu kutokana na uwezo wako ndio maana muliletewa treni za miaka 100 iliopita kwasababu ndio jwezo wenu ulipoishia

Bus zote zilizotumika world cup qatar ni za china wewe unazungumza nn chizi wewe

View attachment 2810870
Ukiona hajakujibu, sio kwamba ameishiwa hoja, wote wako gizan mda huu.. kesho hali ikikaa sawa atakujibu na pumba nyingine

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1723395862317912219?t=UMGZLQLdkS80lm6YsdPv1w&s=19
 
Hawa machizi yani wanatuona humu ndani wote ni akili za kushikiwa just imagine binaadamu anapanda kwenye haya malori ya kubeba mkaa utasema wanaakili timamu hawa kondoo 😅😅😅😅😅

Tofaut ya punda na hawa ni nini??
View attachment 2810852View attachment 2810853
Na Anaziita Beautiful, comfortable and Exciting Teargas

Alafu mbishi eti hatuna Bus huku,

Mpuuzi sana huku Bongo kila mkoa kuna Tajiri kamiliki chuma zake za kupeleka watu mikoa Mingine na wanaweza kua zaidi ya wawili.


Sasa huyo muulize Turkana Super beautiful, comfortable na exciting nani anazimiliki.
 
The good news is that Google never lies … it’s a neutral judgment….now let’s compare Kibera in relation to size of Nairobi…. You really think 2.5 million dwellers would fit here?…. Even a mentally handicapped person has a better reasoning than you…
IMG_1642.jpeg
Safi sana, pambana na Google l
Screenshot_20231111-221312~2.png
 
Back
Top Bottom