Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ama kwa hakika ilifana sana, tuliisimamisha Africa nzima, very standard, wakenya wana kila sababu ya kuogopa, hata hapa naangalia mpira wa Mazembe na Esperance ndani ya Mkapa stadium yani mechi inaoneshwa kwa standard za uefa, alafu muoneshaji ni Azam, nafikiri wakenya wengi watakuwa wanaangalia now. Uwanja uko full house.
Leo unaangalia game ya mazembe hapo kwa mkapa kuko full
 
Ukitaka kujitetkwaea kwa kupitia hizi CCM stadias utakua wewe ni mpumbavu wa mwisho, hizi facilities zilijengwa ya 70s Uko 50+ Years hadi sasa, na nyie mlivyowapuuzi mnajenga vitu vilevile 🀣🀣🀣
Ukitoa Benjamin mkapa mna nini unaweza leta kwenye meza tubishane Kama hakuna tutatumia hizo hizo za CCM Kama hupendi kafie mbali
 
Tony254 rafiki yangu sana huyu jamaa, hanaga pigo za kikenya. Kwa sasa yupo skyscraper city anapambana na jnhpp 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ilianzia hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahaha dopchinski you are my good friend. I like you and I respect you. You have a right to celebrate your candidate winning. Nothing wrong with that. I will just take a few days or weeks from Social media. Today is probably the last day I am posting here. I may come back later. I need time to deal with this loss.
 
No any renovation there unlike hii afarah kuna renovation ya 650m ksh ishateketea hapa 🀣🀣
20231022_151036.jpg
20231022_151032.jpg
 
No any renovation there unlike hii afarah kuna renovation ya 650m ksh ishateketea hapa 🀣🀣🀣
View attachment 2789567View attachment 2789568
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Ukitaka kujitetea kwa kupitia hizi CCM stadias utakua wewe ni mpumbavu wa mwisho, hizi facilities zilijengwa ya 70s Uko 50+ Years hadi sasa, na nyie mlivyowapuuzi mnajenga vitu vilevile 🀣🀣🀣
Nionyeshe stadium ya maana mliyojenga in the past 10 years. πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom