Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,993
Nasikia njaa imewafanya mbuni ugali wa nyasi,hapo ushakula ugali wa nyasi umekutoa akili unaongea ujingaMoyale has better roads than Dar
View attachment 2790143
Nasikia njaa imewafanya mbuni ugali wa nyasi,hapo ushakula ugali wa nyasi umekutoa akili unaongea ujingaMoyale has better roads than Dar
View attachment 2790143
Kile kiswahili cha yuwaja,yuwaenda,yuwala ndio kiswahili bora huko kwenu 😂,hao wa pwani wenu hawajui kiswahili uwa wanajifunza na kukariri maneno mengi ya kutokea TZKiswahili cha Pwani ya Kenya ndio best Na huko ndiko kilikoanzia. Soma historia.
Unamjua my home boy jaysten jow pimps king of drifting 😂Waulize ile kivumbi walionyeshwa pale Masinga TT jana, lakini they make the place fun akina ephrawheelz, jowpimps, molley, akina Frisby etc, they are putting Tanzania on the map much respec. Si kama huyu muindi fake anaitwa ichogal😂😂
I told you, yaani hata huna aibu kupost mibasi ugly kama hizo!? Tanzania kelele tu. Mkikaa Tandale mnaanza kufikiria vile mna mabasi. Hamna lolote.
I told you, yaani hata huna aibu kupost mibasi ugly kama hizo!? Tanzania kelele tu. Mkikaa Tandale mnaanza kufikiria vile mna mabasi. Hamna lolote.
View attachment 2790847
Sasa kama Kundustan hamna cha kushabikia?Nimemuona leo hassan joho benjamin mkapa amevaa jenzi ya yanga ila picha naitafuta 😅😅😅😅
View attachment 2790533
EPL yao na Hollywood yao ni hapa TZ 🤣🤣🤣Sasa kama Kundustan hamna cha kushabikia?
None of the above hamna yenye basi 10!Nishasema, Watz huamini kilichopo akili mwao, bora wajiliwaze. Haya Tafta Buscar pia. Ama hizi za kwenda Western. Sijaweka za Coast na North
View attachment 2790715View attachment 2790717View attachment 2790718View attachment 2790719View attachment 2790720View attachment 2790721View attachment 2790723
I see martin air , i see air france , i see KLM ,
So which is which ?? Who own that aircraft?🤣
Rudisha ndege ya watu budaa mue munapenda vyenu inatosha 🤣🤣🤣
Is this kenya registration ?
View attachment 2787651
Kila mtu Ashinde mechi zakeI told you, yaani hata huna aibu kupost mibasi ugly kama hizo!? Tanzania kelele tu. Mkikaa Tandale mnaanza kufikiria vile mna mabasi. Hamna lolote.
View attachment 2790847View attachment 2790848View attachment 2790849
Bro umeshauriwa kwa upendo kabisa hii battle mkafanye na Burundi sisi sio size yenu. Unasema buses zinazoenda ushagoo sisi tunazungumzia buses zinaenda cross country huko. Sijui unaelewa?Nishasema, Watz huamini kilichopo akili mwao, bora wajiliwaze. Haya Tafta Buscar pia. Ama hizi za kwenda Western. Sijaweka za Coast na North
View attachment 2790715View attachment 2790717View attachment 2790718View attachment 2790719View attachment 2790720View attachment 2790721View attachment 2790723
Hiyo Ena coach kila mara tukijadili mabasi humu lazima wapost ya Kwanza kabisa, Kwani ndo kampuni bora kule kwao? 😂😂😂Nionyeshe fleet hata ya basi tano za hiyo kampuni kama uko na guts 🤣🤣🤣.. hizi ni takataka gani by the way..?
Nilitaka kusema hivyo hvyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo Ena coach kila mara tukijadili mabasi humu lazima wapost ya Kwanza kabisa, Kwani ndo kampuni bora kule kwao? 😂😂😂
Hicho ndio Kiswahili halisi. 'Hichi' chenu ni cha kulazimishwa na Mzungu akasema eti Kiswahili cha Zanzibar ndicho kitumike kama standard. But the original Swahili ni cha Lamu kikifuatwa na cha Mombasa.Kile kiswahili cha yuwaja,yuwaenda,yuwala ndio kiswahili bora huko kwenu 😂,hao wa pwani wenu hawajui kiswahili uwa wanajifunza na kukariri maneno mengi ya kutokea TZ
Piga Makoti basi we hater wa SamiaUkiambiwa huna akili, ukubali!
Yan unapost chochote tu unachokiona bila kujiongeza akili
View attachment 2790959