Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KIbera is located just five kilometres from Kenya’s vibrant capital Nairobi, Kibera is the world's third-largest slum. Roughly one million residents live in Kibera (forming one-fifth of Nairobi’s population), where overcrowded shacks, poor sanitation, and poverty is widespread and municipal officials have traditionally ignored the community##Hivi hii ina ukweli au jamaa tu wana chuki na mji wa Nairobi...?
Over 70% ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers, hawaongopi ni kweli kabisa, kibera alone accomodates more than 2.5mil slum dwellers, Kenya 90% ya wanaokaa kwenye nyumba nzr pale nairobi ni foreigners, hawa wengine pangu pakavu tia mchuzi ndio wanaishi kwenye maghorofa ya udongo kama alivyopost Shebby01 mkuu Kenya ni hovyo zaidi ya unavyojua, vijana wengi wa kikenya wanaona ni bora wasepe nchi jirani kujikwamua na umaskini wa kutisha huko kwao. No future in Kenya.
 
Aisee hata mtu mwenye maisha ya chini bongo hawezi aka kaa environment ya hivyo hawa jamaa ni failed state kabisa!
 
KIbera is located just five kilometres from Kenya’s vibrant capital Nairobi, Kibera is the world's third-largest slum. Roughly one million residents live in Kibera (forming one-fifth of Nairobi’s population), where overcrowded shacks, poor sanitation, and poverty is widespread and municipal officials have traditionally ignored the community##Hivi hii ina ukweli au jamaa tu wana chuki na mji wa Nairobi...?
Ni kweli ukifika utaelewa hali halisi ya residents wa kibra na maeneo mengi nairobi
 
Over 70% ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers, hawaongopi ni kweli kabisa, kibera alone accomodates more than 2.5mil slum dwellers, Kenya 90% ya wanaokaa kwenye nyumba nzr pale nairobi ni foreigners, hawa wengine pangu pakavu tia mchuzi ndio wanaishi kwenye maghorofa ya udongo kama alivyopost Shebby01 mkuu Kenya ni hovyo zaidi ya unavyojua, vijana wengi wa kikenya wanaona ni bora wasepe nchi jirani kujikwamua na umaskini wa kutisha huko kwao. No future in Kenya.
Hivi wewe ushawai fika Nairobi ama ni domo domo tu?
 
Mauchafu ugly za china , sijui yutong ,zhongtong !!
Vitu after 2 yrs zinafanana takataka.
Sauli pekee ndio wako na mabasi za adabu TZ..
Tahmeed pia ukiondoa Chinese zao.
unatulazimisha tuwe na marafiki wa kibepari wakati wajamaa wenzetu tulikuwa nao toka kitambo bega kwa bega acha tuwaungishe standard zao zimekuwa well huyo mmarekani tuu kaenda kjifunza namna ev zinavyozalishwa kwa wingi.
 
Back
Top Bottom