Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KIbera is located just five kilometres from Kenya’s vibrant capital Nairobi, Kibera is the world's third-largest slum. Roughly one million residents live in Kibera (forming one-fifth of Nairobi’s population), where overcrowded shacks, poor sanitation, and poverty is widespread and municipal officials have traditionally ignored the community##Hivi hii ina ukweli au jamaa tu wana chuki na mji wa Nairobi...?
 
We kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu 😃😃😃😃😃wengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo 😄😄
Muwe mnawadanganya ambao hawajafika kunyaland.
Kwenye issue ya usafiri wa mabasi Tanzania inaongoza.
View attachment 2792108View attachment 2792109View attachment 2792111View attachment 2792112View attachment 2792113
Hapo mlikuwa kwenye maonesho ya medieval buses fair?😳 Au unataka kusema huo ni usafiri wa kawaida huko Northern leo hii? 😅😅😅
 
We kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu 😃😃😃😃😃wengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo 😄😄
Muwe mnawadanganya ambao hawajafika kunyaland.
Kwenye issue ya usafiri wa mabasi Tanzania inaongoza.
View attachment 2792108View attachment 2792109View attachment 2792111View attachment 2792112View attachment 2792113
Hivi Watz wote mnakuja Kenya ni ombaomba? Ama mbona kila mtu akija anakaa Slum!? Hamwezi afford hata South c?
 
Hii battle ya which country has better long distance buses tulishamilizaga zamani ila wakunya hampendi kushindwa I don’t know why 😃😃😃😃
The best long distance buses in kenya:-
1.Mash poa- ambayo huwa naipenda katika usafiri wa mombasa sababu kidogo niwastaarabu na wako well organized mabasi yenye viwango hayazidi kumi kama nasema uongo ruksa kupost.
2.Ena coach-anajitahidi kuleta mabasi ya viwango vyuma vyake vingi vipya viko well maintained ana booking office yake kubwa tu ila hamna basi iliyo na VIP class kama nasema uongo ruksa ni pate challenge.
3.tahmeed-ambayo ni kampuni ya bongo mtushukuru sana kwa kuwasitiri ana vyuma vizuri tu na VIP class zipo.
4.mash poa: labda mabasi mapya hayazidi 5 yote mengine scrap
5.coast bus: pia hana jipya
6.bus car: mabasi yake mazuri pia yana standard VIP available ila hayazidi kumi 😄
7. Simba coach:daaah hii hapa 😂😂😂
8.transline coach : mabasi mengi scrap hamna cha VIP
9:crown coach:😂😂😂😂
10.dreamline mabasi yake mapya hayazidi kumi
11:spanish: mungu saidia
12😛elican,rayaan,liban randa hayazidi mabasi kumi each company na kama yanazidi mengine scrap 😃

Tanzania ushindani upo mkubwa tuna makampuni zaidi ya 30 plus. Kila siku vyuma vipya vinaletwa unakuta kampuni inashusha mabasi kama kumi na tano kwa mpigo kenya kuna kampuni ina huo uwezo? ikifikia issue ya VIP hatuna mpinzani
Hii battle naomba ishie hapo.
 
Dah nimecheka sana, ila on a serious note hawa jamaa inabidi tuwachape vibao labda ndio watakuwa na akili, yaani kila kitu wanatuaibisha tu East Afrika…….huyu jamaa hayumo humu kweli? Unahisi anaweza kuwa nani?

Anyways, official name ya hawa jamaa zetu kuanzia leo ni VIBERA au unasemaje Mwenyekiti ichoboy01???

VIBERA WAKUBWA HAWA……….😂😂😂😂
Approved ✅😅😅
 
Hivi Watz wote mnakuja Kenya ni ombaomba? Ama mbona kila mtu akija anakaa Slum!? Hamwezi afford hata South c?
We utaishia kutokwa na povu 😀😀😀ndio nika kuambia wewe ni mgeni humu.
Mie nimebaatika kukaa slums za africa karibia nchi zote😄
Europe,asia,middle east,America sijui wewe hapo mwenzangu😅😅😅
Na hapa nikimalizia naenda zangu Netherlands kukaa kwenye slum 😃😃una swali tena?
 
Hivi hayo maghorofa yao ni vipi? Waligombana na madirisha au tuseme huko ni baridi sana mpaka wanaweka madirisha ya namna hiyo?!
Yapo low quality sana na mazingira ni machafu mno.
mkuu hawa jamaa wengi ndo maisha Yao kuna mwenzangu kutoka nje ya east Africa tumepangwa nae area ya Kukaa for the time tulienda nje field jamaa ameshangaa sana na magorofa ya Nairobi😄😄😄
 
We kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu 😃😃😃😃😃wengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo 😄😄
Muwe mnawadanganya ambao hawajafika kunyaland.
Kwenye issue ya usafiri wa mabasi Tanzania inaongoza.
View attachment 2792108View attachment 2792109View attachment 2792111View attachment 2792112View attachment 2792113
Alafu hawa jamaa kwnn mazingira yao machafu hivi? Yani Kenya nzima ni kuchafu mpk CBD ni hivi hivi, alafu hii nchi ndio iwe East Afrika power house si tutakuwa hatuna akili kabisa ukanda huu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom