ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,252
Hizi story watafute Nigerians uwaeleze 🤣🤣🤣 mtumwa weweHicho ndio Kiswahili halisi. 'Hichi' chenu ni cha kulazimishwa na Mzungu akasema eti Kiswahili cha Zanzibar ndicho kitumike kama standard. But the original Swahili ni cha Lamu kikifuatwa na cha Mombasa.
Unaota wewe,hao wa lamu na msa wanakariri kiswahili cha TZ,nishafika huko kote na ukifika mbongo huko uwa wanajitahidi kuongea kiswahili cha bongo kuogopa tutawachekaHicho ndio Kiswahili halisi. 'Hichi' chenu ni cha kulazimishwa na Mzungu akasema eti Kiswahili cha Zanzibar ndicho kitumike kama standard. But the original Swahili ni cha Lamu kikifuatwa na cha Mombasa.
Mtumwa ni wewe unayedhani Kiswahili cha Tz ndio standard kisa Mzungu alisema.Hizi story watafute Nigerians uwaeleze 🤣🤣🤣 mtumwa wewe
Hakuna Mkenya anayetamani kuongea Kiswahili cha Bongo. Nenda kadanganye Batoto Ba Kongo hiyo.😂😂😂Unaota wewe,hao wa lamu na msa wanakariri kiswahili cha TZ,nishafika huko kote na ukifika mbongo huko uwa wanajitahidi kuongea kiswahili cha bongo kuogopa tutawacheka
Mjuzi wa lugha kama mimi ambae kiswahili ni first language yangu na mkufunzi darasani, siwezi pigizana kelele na wewe mpumbavu. 🤣🤣Mtumwa ni wewe unayedhani Kiswahili cha Tz ndio standard kisa Mzungu alisema.
Buda hao wa msa leo mkifanya referendum kama ile ya crimea 2014,watu wa pwani watachagua TZ,mkenya wa bara 80% ya wakenya wa pwani awamchukulii kama mwenzao tofauti na mbongo hasa wabongo wa tangaHakuna Mkenya anayetamani kuongea Kiswahili cha Bongo. Nenda kadanganye Batoto Ba Kongo hiyo.😂😂😂
Naonaga wanawabagua mnoo watu wa pwani yao mara wawaite wavivu, sielewi huo ubaguzi unatoka wapi wakati ni nchi moja.Buda hao wa msa leo mkifanya referendum kama ile ya crimea 2014,watu wa pwani watachagua TZ,mkenya wa bara 80% wakenya wa pwani awamchukulii kama mwenzao tofauti na mbongo hasa wabongo wa tanga
Wabara wamekamata vitu vingi kule pwani,bandari wamejaa wabara,wanawabagua wakiwa kwaoNaonaga wanawabagua mnoo watu wa pwani yao mara wawaite wavivu, sielewi huo ubaguzi unatoka wapi wakati ni nchi moja.
Wakenya wenye akili na wanaoweza kuishi na ukweli 👇👇
View: https://www.facebook.com/PearlRadioKe/videos/338826255328666/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Wakenya wenye akili na wanaoweza kuishi na ukweli 👇👇
View: https://www.facebook.com/PearlRadioKe/videos/338826255328666/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Kipigo wanachokula kwakweli si mchezo, itakapofika 2030 inshallah sitegemei kumuona mkenya humu, lkn pia nafikiri hii battle itakuwa ishakufa mana kutakuwa hakuna uhalisia kabisa.Ndio hii tunasemaga kila siku, NI SYSTEM, sio kama vitu vipo tu kimchongo mchongo, Watanzania wanapenda mpira, wana team, wana viwanja, na wana hela wamewekeza kwenye mpira, kwa hiyo kila kitu kinajipa kinakuwa mahala pake kwa kuwa kimekua arranged vizuri, angalia Tickets zinakua sold out, kama BRT vile vile ni system, kuna infrastructure, kuna Buses, Kuna investment , Huwezi kuwa na kimoja tu ukasema na wewe una BRT, Namaanisha huwezi kuwa na hela ya chaki tu ukachora barabarani BRT ONLY basi na wewe ukawa sawa na mwenye BRT 🤣🤣🤣🤣