Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna kitu kama hicho! Sema Mombasa ina substandard roads! The whole road network Mombasa haizidi 150 km! Unafananishaje na Dar? Mombasa hata kwa Dodoma haioni ndani!
Bado, hujaijua Mombasa. Kisha muache kuvitaja vijiji Dodoma na Mwanza. Kidogo Arusha inakubaliwa. Watu tu wazima acha kujidhalilisha na vitu za kijinga kama Dodoma na Mwanza. Sio eti Arusha nzuri, lakini kiasi kidogo imepiku vijiji hivyo vingine.
Nasema hivyo sababu nimefika hizi Town zote. Achani bana ni aibu.

Haya, Mombasa yenyewe. Mtu angeweza itisha hii battle!!!!
Screenshot_2023-10-22-08-33-39-01_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
 
Ingekuwa Kenya ungesikia sijui Harlington steel mills sijui lavington ali mradi ni vichekesho tuu toka kwa hawa wenzetu ambao ni mentally colonised.
kisha bila fedheha wanatoka kudai Lugha ile waliyoidharau na kuiona ni substandard as compared to their Slave Masters Language eti ilianzia kwenye nchi yao iliyolaaniwa, na baada ya kuona dunia inaapreciate Juhudi zetu za kuitangaza Duniani.
Hawa watu ni mataahira, nchi nzima imejaa mataahira.
 
kisha bila fedheha wanatoka kudai Lugha ile waliyoidharau na kuiona ni substandard as compared to their Slave Masters Language eti ilianzia kwenye nchi yao iliyolaaniwa, na baada ya kuona dunia inaapreciate Juhudi zetu za kuitangaza Duniani.
Hawa watu ni mataahira, nchi nzima imejaa mataahira.
Nyang'au huwa hana mshipa wa aibu😁
 
Kiswahili cha Pwani ya Kenya ndio best Na huko ndiko kilikoanzia. Soma historia.
Nimechelewa kuuona huu mjadala.. lkn hapa kwenyewe umeshindwa kuandika sentensi kwa kiswahili yote. Ndo kiswahil kitoke kenya?.
Pia kiswahili cha mtoto mdogo wa Tanzania ni bora na kinaelewa kuliko hata cha mtu mzima huko kenya.
 
wacha we kitu substandard hata kwa open eyes! Scale is inexistent Vocabulary to Kundustans! The outer lanes ought to have roundabouts or traffic lights but guess what Mkundustan anakubali huu upuuzi! Na anakuja kutamba nao kama zile stadiums!
Under construction. Ama huna machoo
Wait for final pic.
Or utafute pics za 1st face iliyo complete
 
the poor loss making KQ owns three aircrafts out of its 20+ fleet, and my best guess is KQ owns the oldest version of those Brazilian embraer 190 Scraps sold at Around $20 m at current market price
Kwaiyo your poor loss making kq owns a solid assets worthy $60m ,
However, if we bring a valuer today will possibly value all klm’s kq three embraers at $30m due to their old age.
Congratulations.
 
Eldoret Express bado zinafanya kazi!?
Kitambo kuziona. Hiyo kampuni ilikuwa na mabasi karibu elfu moja, na kina Akamba bases.
Siku hizi Kenya tuko kwa hizi
Tanzania bado hamjafika. Jitahidi.
View attachment 2790568View attachment 2790571
So these are your Mombasa Nairobi’s Most Luxury commuters ? Can you also share the most Luxurious commuters for Nairobi Eldored ? Kuna mkunya alisema pia eldored ni city huko Kundustan, please share.
 
Back
Top Bottom