Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matusi ni ishara ya hasira. Hata ujue lugha zote ulimwenguni hilo linajulikana. (Ila hapo kwa kimombo hata wewe unajua its quite a stretch. Labda ukilinganisha na Mtanzania wa kawaida unakijua ila ukilinganisha na mtu anayeelewa lugha uko hivi hivi tu)😂😂😂
Hata sielewi unazungumzia nini hapa.. 🤣🤣
 
Yeah I can see you back in 1990s. Bado hata haujafika hii error enye tupo sasa. 🤣🤣🤣
Ni kama hujui meaning ya time traveler. Time Traveler anaweza Enda Enzi zote - iwe 1990 ama 2990. To make it short, time Traveler ana uelewa Zaidi ya mtu was kawaida maana anaweza ona jinsi mambo yalivyofanyika na yatakavyofanyika. That's why I told you your English is wanting, delete it from the languages you claim to be fluent at.😂
 
Ndoto ya mitanzania ni kutawaliwa na waarabu
IMG_20231024_132002.jpg

 
Rais wa TZ anatokea wapi?nionyeshe mpwani yoyote alieshika nyadhifa kubwa ya kitaifa,huko mtu kutoka pwani akienda bara huko anachukuliwa kama mgeni na si mkenya
Samia Suluhu is a product of tokenism. Many Coasterians have held and hold senior positions in Kenya and are members of the cabinet. Mkishashindwa na hoja ni kujaribu kugawanyisha Wakenya. Jengeni port yenu muache kutamani vya watu.
 
Joho ndani ya uzi wa wananchi,jana alikuwepo kwa mkapa kushuhudia wananchi tukimchapa azamView attachment 2791241
Joho ana pesa ya kutembea popote atakako. Kabla aje Bongo alikuwa marekani na anajulikana kutalii nchi mbalimbali. Wewe huwezi kuja Kenya sio eti hutaki Bali huna pesa. Inferiority complex isikufanye ujione special Dogo.
 
Walijazwa upepo na kigazeti ki1 kilidai hivyo while golden dragon ya china ndio iliyotengeneza yale mabus
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bahati nzuri wameanza kugundua, Ukiona mtu uliyedhani umemzidi anakupumulia kisogoni ujue umekwisha. Siku hizi kwenye social media wanapewa makavu na wabongo live bila chenga.
 
Back
Top Bottom