Kuna daladala Dar!? Ama zimeondoka siku hizi!?Tofauti ni kuwa Nairobi bado mnasafiri kwenye canters na isuzu trucks as we speak, wakati Dar have transformed and still transforming.
Kuna daladala Dar!? Ama zimeondoka siku hizi!?Tofauti ni kuwa Nairobi bado mnasafiri kwenye canters na isuzu trucks as we speak, wakati Dar have transformed and still transforming.
We ni kichaa kweli .. Sasa unategemeaje kujibiwa 2 buses kwa kampuni 100+ za mabasi in Tz .? Tafuta watu wa burundi mujadili hii mada, ni aibu kwa mtanzania kujibizana na mkenya kuhusu usafiri.Kwa mikebe mnapost hapa!? We acha bana. Mambo haya si magumu. Kuangalia tu. Nilipost hapa mabasi mawili tu, nikawauliza mlete basi Tz nzima mfano wake, si mlishindwa!?
Ama unataka nirejelee unijibu!?
Shida ipo wapi na Isuzu!?Tofauti ni kuwa Nairobi bado mnasafiri kwenye canters na isuzu trucks as we speak, wakati Dar have transformed and still transforming.
How will this stop KQ from having the best economy class service in Africa, skiza NBO is a regional hub therefore its a must you will visit on the other hand dar is unimpressive to me.Yea, May be from Tandale, However I have visited Nairobi more that 10 times, Mombasa thrice , visited also Uganda, North Africa, Southern Africa and Europe and still traveling . Wewe umesafiri wapi ?
Sasa mzee wangu usafiri wenu bora huko kwenu ni matatu while usafiri bora in DAR ni BRT buses, sasa utajilinganishaje na sisi kiazi wew.? Daladala zipo ndio, lakini sio usafiri wetu bora. Hatuwezi kuwa na battle ya aina hiyo.Sijapinga BRT, kuna daladala bado kule Dar!?
Si unaona!? Huelewi hata.We ni kichaa kweli .. Sasa unategemeaje kujibiwa 2 buses kwa kampuni 100+ za mabasi in Tz .? Tafuta watu wa burundi mujadili hii mada, ni aibu kwa mtanzania kujibizana na mkenya kuhusu usafiri.
Vumbi Nation, always jua kali.More construction of Roads in Mombasa.
Did you know that Mombasa has better roads than Dar!? And any city in East Africa apart from Nairobi!?
View attachment 2790380
Sasa wewe, ndiwe unapanga usafiri bora Nairobi uwe matatu na Dar uwe BRT!? Mbona akili za kitoto!?Sasa mzee wangu usafiri wenu bora huko kwenu ni matatu while usafiri bora in DAR ni BRT buses, sasa utajilinganishaje na sisi kiazi wew.? Daladala zipo ndio, lakini sio usafiri wetu bora. Hatuwezi kuwa na battle ya aina hiyo.
Vumbi Nation, always jua kali.
Air Tanzania has 17 brand new planes, na imefufuliwa juzi tu hapa, kq ina only 3 oldest planes na since uhuru ina operate, wakenya hamna akili.We nae bwana kaache longolongo. Inamaana hujui mambo ya Aviation. Na ndio hivo, shirika lenu ndo limefikisha videge vitatu, hmn, mtaelewaje mambo ya Aviation.!?
🤣🤣🤣 Fala kweli wewe, tuanzie hapa, taja kampuni za mabasi walau 50 na upost hapa basi zao, kwa mfano hizi hapa kampuni tatu za mabasi Tz ambapo kila kampuni inamiliki more than 30 buses 👇1Si unaona!? Huelewi hata.
Kati ya hizo kampuni 100, ambapo Kenya kuna zaidi ya 1200, za mikoani, nilitaka mchague ile ina mabasi bora zaidi. Mje nayo
Shida iko, you should travel in modern Commuters like these
Watanzania huwa mna shida. Unavyo fikiria ndivyo unataka mambo ya ifanane. Yaani mko dunia yenu ambayo facts na ukweli ni mchungu hadi mnajiaminisha chenye mnawaza.Air Tanzania has 17 brand new planes, na imefufuliwa juzi tu hapa, kq ina only 3 oldest planes na since uhuru ina operate, wakenya hamna akili.
Hiyo barabara umepost hapo juu ni ya Moram au.? Anyways ona barabara za lami zinavyotakiwa kujengwa 👇Mombasa have roads never seen before in Dar or Tz yote
View attachment 2790647
Nenda kamlilie waziri wako aliyesema usinililie mimi tafadhali.Watanzania huwa mna shida. Unavyo fikiria ndivyo unataka mambo ya ifanane. Yaani mko dunia yenu ambayo facts na ukweli ni mchungu hadi mnajiaminisha chenye mnawaza.
Wewe huoni kwamba hamna akili? Hata tukisema ndege 20 zote ni za kq, huoni kama bado hamna akili? Tangu uhuru shirika lina operate lkn lina ndege 20 tu, air Tanzania imefufuliwa juzi tu hapa now ina ndege 17 na nyingine zinakuja.Watanzania huwa mna shida. Unavyo fikiria ndivyo unataka mambo ya ifanane. Yaani mko dunia yenu ambayo facts na ukweli ni mchungu hadi mnajiaminisha chenye mnawaza.
🤣🤣🤣 Fala kweli wewe, tuanzie hapa, taja kampuni za mabasi walau 50 na upost hapa basi zao, kwa mfano hizi hapa kampuni tatu za mabasi Tz ambapo kila kampuni inamiliki more than 30 buses 👇1View attachment 2790623View attachment 27906242👇 kimbinyikoView attachment 2790636View attachment 27906373 Shabibi bus company 👇
View: https://youtu.be/-RVJdRIOQ6Y?si=z0X6Tu2LFYaAoO8U. Skia hizi ni kampuni tatu tu na zinamiliki buses almost 100. Sasa vipi nilitaka hata kampuni 50 tu.? 🤣🤣🤣. Sisi huku👇 hatuzungumzii huu upuuzi 👇View attachment 2790648.. hii discussion tafuta watu wa burundi mujadili ndio level zenu.. au ulikua inamaanisha vikampuni vya hizo matatu na hizi scraps metals?
Bana nyinyi ndio hamna akili, siku zote watu wakiwa na ndege nyinyi mlikuwa mnafanya nini!? Rwanda iwe na airlines nyinyi bado, mlikuwa mwafanya!?Wewe huoni kwamba hamna akili? Hata tukisema ndege 20 zote ni za kq, huoni kama bado hamna akili? Tangu uhuru shirika lina operate lkn lina ndege 20 tu, air Tanzania imefufuliwa juzi tu hapa now ina ndege 17 na nyingine zinakuja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 LazyHiyo barabara umepost hapo juu ni ya Moram au.? Anyways ona barabara za lami zinavyotakiwa kujengwa 👇View attachment 2790667