Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Allow me to remind these Kundustans on this,
Kama kuna maeneo hamtakiwi kujichanganya kwa TZ ni
1. Public transport and its infrastructure
2. Sports and entertainment, michezo kama Mlira wa miguu, ndondi nk
3. Food, Agriculture, Nutition
4. Women, Night life,
5. Healthy service and delivery
6 . Tourism
7. Military
8. And many more

Mjikite kwenye English Langage, gdp nk. Hapa ndio you are ahead of Tanzania.

This I tell you, you will never win this.
Lol...story za jaba tu....whats the HDI of tz
 
Mauchafu ugly za china , sijui yutong ,zhongtong !!
Vitu after 2 yrs zinafanana takataka.
Sauli pekee ndio wako na mabasi za adabu TZ..
Tahmeed pia ukiondoa Chinese zao.
Hayo maneno yanatakiwa yasemwe labda na mtu kutoka Germany au Japan. Sio wewe mnuka mavi wa kikunya .. Yutong ndio the leading bus manufacturer on earth 👇
Screenshot_20231024-123844_1.jpg
Screenshot_20231024-123844_2.jpg
 
Buda hao wa msa leo mkifanya referendum kama ile ya crimea 2014,watu wa pwani watachagua TZ,mkenya wa bara 80% ya wakenya wa pwani awamchukulii kama mwenzao tofauti na mbongo hasa wabongo wa tanga
Naona ushabadilisha magoli. Sasa mmeanza kuiba visivyo vyenu. Hehee😂😂😂
 
Kutoa magari mengi Ni tofauti na kutoa quality.
Wewe mkenya mnuka mavi unapata wapi guts za ku criticize chinise buses, ikiwa mabasha zenu ndio wanaongoza kuzinunua.? Yaye mnuka mavi wa kenya ujue kitu bora kuliko UK or US.? 🤣🤣. Qatar ndio bus zao hizo wanatumia 👇
View: https://youtu.be/zRvKlpxddnA?si=99Qvu_KVJ_-rUUbo. Yutong in UK
View: https://youtu.be/_mQuaxb1AyY?si=0aZc5-Oc8PaCTMKV. Yutong in US
View: https://youtu.be/rfpOse4IgdE?si=KGjb4VTHShYiFmvc. Shida ya nyie wakunya wengi humu hujui chochote kile kuhusu hii dunia, ni bendera tu fata upepo na historia zilizopitwa wakati
 
Hata upost picha zote za China kama una akili unajua huwezi fananisha Yutong na mabasi kama za Scania, Mercedes Benz, Volvo na Isuzu.
 
Bro we huwezi kunitia hasira mimi, niko competent kinondo, kiswahili lugha yangu, siwezi babaishwa na wewe mpuuzi mmoja
Matusi ni ishara ya hasira. Hata ujue lugha zote ulimwenguni hilo linajulikana. (Ila hapo kwa kimombo hata wewe unajua its quite a stretch. Labda ukilinganisha na Mtanzania wa kawaida unakijua ila ukilinganisha na mtu anayeelewa lugha uko hivi hivi tu)😂😂😂
 
Back
Top Bottom