ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mm nataka unioneshe ushahidi kua mkopo wa covid ulipatikana bila riba nikuoneshe chura mwenye kalio moja sasa hvi🤣🤣🤣Serikali ilishaeleza mar nyingi san kwamba riba ilifutwa na utalipwa baada ya miaka 30 pesa kama pesa.
Hakuna mtanzania mjinga sasa hvi nilishakwambia hope unakumbuka maneno yangu