Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Mm nimeumbuka au sio?🤣🤣🤣
loan isiokua na interest kweli au sio🤣🤣
Ana leta aibu na bakuli lisilo jaa, yote kwa yote anaona Tz tunaitafuta bahari ya Atlantic via Congo 🇨🇩😁Kumbe ile safari ilikua ya kutembeza bakuli la sgr
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍Watu wanakalia zege ??🤣🤣🤣 2023
Alaf jina linaitwa modern
View attachment 2789192View attachment 2789193
DJ tupeleke sokoine stadium mbeyaWatu wanakalia zege ??🤣🤣🤣 2023
Alaf jina linaitwa modern
View attachment 2789192View attachment 2789193
Ukitaka kujitetea kwa kupitia hizi CCM stadias utakua wewe ni mpumbavu wa mwisho, hizi facilities zilijengwa ya 70s Uko 50+ Years hadi sasa, na nyie mlivyowapuuzi mnajenga vitu vilevile 🤣🤣🤣DJ tupeleke sokoine stadium mbeya View attachment 2789260View attachment 2789261View attachment 2789262View attachment 2789263
5th in a row, hakuna ushindani. Leteni povu la loss making.
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1715849066985181625?t=81Xc1jr-lcMBWUBVYyzi_A&s=19
Wajaluo wengi walipotea humu baada ya uchaguzi na Ruto kushinda😁😁😁View attachment 2789213
Hivi yule tony mkunya alipotelea wapi 😂
Itakua upepo wa mungiki umempitia yule 😂Wajaluo wengi walipotea humu baada ya uchaguzi na Ruto kushinda😁😁😁
Anajisumbua,geography inatubeba sema viongozi waliopita wengi wao awakua na maono hadi magu alipokuja kuonyesha kama inawezekanaAna leta aibu na bakuli lisilo jaa, yote kwa yote anaona Tz tunaitafuta bahari ya Atlantic via Congo 🇨🇩😁
Mbona kama kwasasa tunakua sana katika kila eneo. Basketball Tz 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cys_cRMMk5y/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.