Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaa!! Huyu bwana mdogo mbona anamachungu hivi!?
piga picha kwa uwazi kwanza ioneshe aerial view na plate no za magari mbwa nyie mbona hamjiamini
Siamini, picha tu ya Westlands inakufanya ulie na kukasirika kiasi hicho!!! Daah.
Ndio hii rudia kuona vizuri.
BMW M3 na Ferrari Spyder za Carl Flash Tundo. Mwendeshaji wa Rally Cars in Kenya.
20231021_183921.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sijawahi eleweka hizi hasira ni za nini na Watanzania!?
Halafu zinawasaidia nini!?
Hasira za watanzania uliziona wapi, ushawahi kuona tumechinjana kama nyie? Ushawahi kuona tunaandamana kwa vitu vidogo vidogo kama nyie? Mshawahi kuona tunatukana tukana viongozi hadharani kama nyie?
 
Nilitegemea kukutana na comment kama hii.
Comment kama hii huwa inatumika kuficha aibu.
Enda ground ukikosa wakenya na wamehire mashamba, na kununua na kusafirisha ukam useme hapa, huko tunawauzia hadi alot of agroproducts, I knw what I'm saying. Si watanzania wanajituma kuleta mzigo kenya Bali kenyans taking themselves to source and transport back to kenya.
 
Ground ni wapi!
Niko Tanzania.
Watu wangu wa karibu ni wakulima wa hizo viazi.
You know what you're saying na unaandika maneno matupu hapa.
Sishangai ukiniambia hata vitunguu vya Mangola ni nyie ndo mnalima.
 
Back
Top Bottom